Nyumba ndogo sasa basi

Nyumba ndogo sasa basi

Zorrander

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
438
Reaction score
233
Habari wana MMU.

Kwa kweli nimeamua mwenyewe kwa dhati kabisa naachana na mambo ya nyumba ndogo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa sijawahi hata siku moja kuhisiwa na wife kwamba na-cheat ila nimeamua kumrudishia haki yake ya msingi ya kuwa na mimi wakati wowote.

Nimekuwa nikiamini hizi nyumba ndogo zina umuhimu mkubwa sana katika kujenga nyumba zetu, wamekuwa wakijaza pale palipopungua kwa mke, nimekuwa na bahati kubwa ya kukutana na nyumba ndogo zenye amani, wenye furaha, wanaomheshim mke wangu, sio wasumbufu, wasio tegemezi lakini pamoja nahayo yote leo nasema IMETOSHA.

Lakini wakati naelekea maamuzi haya niliwaza changamoto zilizo mbele yangu (hapa ndipo michango yenu na uzoefu wenu unapohitajika zaidi):

1. Hii nyumba ndogo nilienae sasa ana upendo wa dhati (nionavyo mimi), ni mwanamke anestahili kuwa mke wa mtu (namfaham kwa mwaka sasa), ana haiba, anajua kusamehe bila kuombwa msamaha, anajiheshim, ananiheshim na mke wangu pia, anadai anawapenda hadi wanangu (sina hakika). Najua ataumia kuachana na mm, je, nitakuwa na tofauti gani na wanaume wengine wanaowaumiza wanawake waliowapenda kwa dhati??? Nitakuwa nimetenda wema kwa wife, lakini hisia za huyu ninaemwacha hazipaswi kufikiriwa/kuheshimiwa ikiwa hajanitenda ubaya wowote?

2. Je, ni busara kumwacha kwa kumwambia nia yangu ya dhati? Sijawahi kuacha mwanamke kwa kumwambia hapo kabla (hili linanipa mashaka utekelezaji wake)

Mwisho: Niwashukuru wote mliochangia kunifikisha kwenye uamuzi huu kutokana na post zenu, Mtambuzi, watu8, MadameX, HorsePower, Heaven on earth, Mentor, Evelyn Salt, Fixed Point, ......... list ni ndefu sana natamani niwataje wote ila mda wenyewe ndio hivyo hautoshi.

Nitapokea mawazo yenu (unaruhusiwa kushauri, kuponda, kukatisha tamaa, kupongeza .......).

Thanks MMU members.
 
Hongera sana mkuu! Mi mwenyewe ni nyumba ndogo ya mtu, namwambiaga hivo hivo lakini simaanishi hata chembe, napoteza nae muda tu coz ni kijana mwenzangu na sijaolewa, wala sijawahi kumwomba pesa wala kumsumbua mke wake. Ila hata akiamua kuniacha sitaumia coz sina future nae. Tunakaribia mwaka sasa
 
duh!ulimwengu zaidi ya uujuavyo,nashukuru sana nimefurahisha na ujumbe wako!
 
mmmh dhana ya kujiheshimu napingana nayo kabisa kwa sababu angekuwa anajiheshimu asingetembea na mume wa mtu angetafuta wa kwake labda kama unamaanisha heshima nyingine sio ninayoijua mimi.
 
hongera kwa kujitambua na kuitambua nafasi yako kwa mke wako na familia kwa ujumla.
 
Tukikuambia umhurumie utabadili uamuzi? Nashawishika kuamini kuwa huna uhakika naa unachotaka kufanya, kwa hiyo wewe fanya kadiri roho itakavyokuongoza.
 
Guilty ridden

Anajua sio poa hilo analofanya ila kanogewa sasa si umeona visifa vya bi mdogo!!!!!
 
Ukishafikia maamuzi kama haya huhitaji tena ushauri

ni vyema pia na kufaham uzoefu wa wengine, na kujua hisia za wengine juu ya maumivu/madhara wanayoweza kuyapata kwa ss kubadilisha mitizamo
 
hongera kwa kujitambua na kuitambua nafasi yako kwa mke wako na familia kwa ujumla.

Asnam kuwa na nyumba ndogo haimaanishi hujitambui au hutambui nafasi ya familia yako, ndio maana tumeweza kuishi nazo kwa amani na bila familia zetu ht kupata hisia wala kusononeka.

Hata hivyo asante kwa hongera
 
Habari wana MMU.

Kwa kweli nimeamua mwenyewe kwa dhati kabisa naachana na mambo ya nyumba ndogo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa sijawahi hata siku moja kuhisiwa na wife kwamba na-cheat ila nimeamua kumrudishia haki yake ya msingi ya kuwa na mimi wakati wowote.

Nimekuwa nikiamini hizi nyumba ndogo zina umuhimu mkubwa sana katika kujenga nyumba zetu, wamekuwa wakijaza pale palipopungua kwa mke, nimekuwa na bahati kubwa ya kukutana na nyumba ndogo zenye amani, wenye furaha, wanaomheshim mke wangu, sio wasumbufu, wasio tegemezi lakini pamoja nahayo yote leo nasema IMETOSHA.

Lakini wakati naelekea maamuzi haya niliwaza changamoto zilizo mbele yangu (hapa ndipo michango yenu na uzoefu wenu unapohitajika zaidi):

1. Hii nyumba ndogo nilienae sasa ana upendo wa dhati (nionavyo mimi), ni mwanamke anestahili kuwa mke wa mtu (namfaham kwa mwaka sasa), ana haiba, anajua kusamehe bila kuombwa msamaha, anajiheshim, ananiheshim na mke wangu pia, anadai anawapenda hadi wanangu (sina hakika). Najua ataumia kuachana na mm, je, nitakuwa na tofauti gani na wanaume wengine wanaowaumiza wanawake waliowapenda kwa dhati??? Nitakuwa nimetenda wema kwa wife, lakini hisia za huyu ninaemwacha hazipaswi kufikiriwa/kuheshimiwa ikiwa hajanitenda ubaya wowote?

2. Je, ni busara kumwacha kwa kumwambia nia yangu ya dhati? Sijawahi kuacha mwanamke kwa kumwambia hapo kabla (hili linanipa mashaka utekelezaji wake)

Mwisho: Niwashukuru wote mliochangia kunifikisha kwenye uamuzi huu kutokana na post zenu, Mtambuzi, watu8, MadameX, HorsePower, Heaven on earth, Mentor, Evelyn Salt, Fixed Point, ......... list ni ndefu sana natamani niwataje wote ila mda wenyewe ndio hivyo hautoshi.

Nitapokea mawazo yenu (unaruhusiwa kushauri, kuponda, kukatisha tamaa, kupongeza .......).

Thanks MMU members.

Chondechonde naomba unirisishe huyo mjana unaomwacha kwani anaonekana ni mke mwema

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Tukikuambia umhurumie utabadili uamuzi? Nashawishika kuamini kuwa huna uhakika naa unachotaka kufanya, kwa hiyo wewe fanya kadiri roho itakavyokuongoza.

sina mpango wa kubadili maamuzi, ila naweza badilisha tu namna ya kumweleza nyumba ndogo na kumpunguzia maumivu anayoweza kuyapata kama ntapata ushauri namna sahihi ya kumuacha mtu ambaye hajakukosea. amekuwa so nice to me all this time.
 
Chondechonde naomba unirisishe huyo mjana unaomwacha kwani anaonekana ni mke mwema

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums

Aisee ni kweli ni mwanamke ambae kila mtu angetamani kuwa nae. Seriously huyu mtoto ni wife material
 
Mie nashangaa mwanaume unaweza iba nje sasa ulimtongozaje kama haujui kujichomoa, eti unafikiria au hujui kuwa na maneno unayomwambia ndio utajuta?

Kwanza nikuambie wewe ni mmoja wa wanaume mnaotia aibu hapa duniani, na ninaomba mungu sasa, leo au kesho mkeo ajue kuwa ulikuwa unatembea nje.

Mie sipendi wanaume wa aina yako, halafu hauna aibu kuja hapa kusema haya na kuomba ushauri kwetu eti tukusaidie mtu mzima hata uamuzi huwezi fanya mwenyewe ila unajua kwenda kuingia kitandani na wanawake wengine wasio wake zako bila kujali afya na maish aya wanenu.

Unashangaza sna, nakusikitikia kuwa hauna nguvu za kujiita muiba nje as haujui nini unataka duniani, na kukuakikishia leo huwezi kuacha maana ungekuwa kweli unataka kuacha basi ungeongea maneno tofauti ya kwanini unataka, umeshasema mkeo ana mapungufu basi hayo kama bado hayajaisha utaiba tu nje.

wanaume wengi huenda nje kwa mchezo na kuwa kama vijitoto ambavyo havijawahi kuona mwanamke sasa wewe mmmh sijui nini kilikupeleka nje.

n.b. nimeona wanawake wengine wanaumia na watu kama nyie wanaume msiojua kufunga suruali huko nje.

acha hiyo tabia na usali Mungu akusamehe, au mkeo atajua tu hata ya zamani ataambiwa na utakomaje.

hizo pesa unazotoa huko nje unajua zingesaidiaje nyumbani kwako? hata kama unazo vi extra vingefanya kitu kama ungempa mkeo awaendeleze pia.
 
Chondechonde naomba unirisishe huyo mjana unaomwacha kwani anaonekana ni mke mwema

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums

Dah! Kweli wewe ni GREAT THINKER!
Kama hofu yake hataki kumuumiza, na yeye anataka atulie na wife wake akuunge tu ujiolee!
Akitaa atakua BONGE LA HASIDI! Ebos! Itakuaje ampotezee muda?
 
Habari wana MMU.

Kwa kweli nimeamua mwenyewe kwa dhati kabisa naachana na mambo ya nyumba ndogo. Kwa zaidi ya miaka sita sasa sijawahi hata siku moja kuhisiwa na wife kwamba na-cheat ila nimeamua kumrudishia haki yake ya msingi ya kuwa na mimi wakati wowote.

Nimekuwa nikiamini hizi nyumba ndogo zina umuhimu mkubwa sana katika kujenga nyumba zetu, wamekuwa wakijaza pale palipopungua kwa mke, nimekuwa na bahati kubwa ya kukutana na nyumba ndogo zenye amani, wenye furaha, wanaomheshim mke wangu, sio wasumbufu, wasio tegemezi lakini pamoja nahayo yote leo nasema IMETOSHA.

Lakini wakati naelekea maamuzi haya niliwaza changamoto zilizo mbele yangu (hapa ndipo michango yenu na uzoefu wenu unapohitajika zaidi):

1. Hii nyumba ndogo nilienae sasa ana upendo wa dhati (nionavyo mimi), ni mwanamke anestahili kuwa mke wa mtu (namfaham kwa mwaka sasa), ana haiba, anajua kusamehe bila kuombwa msamaha, anajiheshim, ananiheshim na mke wangu pia, anadai anawapenda hadi wanangu (sina hakika). Najua ataumia kuachana na mm, je, nitakuwa na tofauti gani na wanaume wengine wanaowaumiza wanawake waliowapenda kwa dhati??? Nitakuwa nimetenda wema kwa wife, lakini hisia za huyu ninaemwacha hazipaswi kufikiriwa/kuheshimiwa ikiwa hajanitenda ubaya wowote?

2. Je, ni busara kumwacha kwa kumwambia nia yangu ya dhati? Sijawahi kuacha mwanamke kwa kumwambia hapo kabla (hili linanipa mashaka utekelezaji wake)

Mwisho: Niwashukuru wote mliochangia kunifikisha kwenye uamuzi huu kutokana na post zenu, Mtambuzi, watu8, MadameX, HorsePower, Heaven on earth, Mentor, Evelyn Salt, Fixed Point, ......... list ni ndefu sana natamani niwataje wote ila mda wenyewe ndio hivyo hautoshi.

Nitapokea mawazo yenu (unaruhusiwa kushauri, kuponda, kukatisha tamaa, kupongeza .......).

Thanks MMU members.
Na hawa ndo wengi....................
 
Back
Top Bottom