Darubini1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 393
- 430
Kwa nini unapenda kutoka out, beach na kwingineko kula na kunywa. Kwako huwezi kwani kufurahia maisha?Kwanini wanaume wanaochepuka wasiache kuchepuka mkuu?
Kwa nini unapenda kutoka out, beach na kwingineko kula na kunywa. Kwako huwezi kwani kufurahia maisha?Kwanini wanaume wanaochepuka wasiache kuchepuka mkuu?
Labda ubadili jinsia yako. Otherwise lazima ufuate formula ya uumbaji.Kwani maisha bila mwanaume hayaendi?
Acha kuposha wenzako mbona wengine hawana michepuko na wametulia tu na familia zaoIla wakuu tuache utani. Maisha ya ndoa bila mchepuko hayaendi kabisa kwakweli. Yaani nimegundua ukitaka ndoa yako idumu na iwe yenye amani na furaha, hakikisha hukosi angalau michepuko miwili nje.
Kwa nini unapenda kutoka out, beach na kwingineko kula na kunywa. Kwako huwezi kwani kufurahia maisha?
Umeoa/olewa?Acha kuposha wenzako mbona wengine hawana michepuko na wametulia tu na familia zao
Hatari sana naona michepuko ni kawaida sasa ivi..yaan uyo atakaeoa mm baadae sijui awe makini kiasi gani nisijue anacheat mana atashuhudia ukurasa mpyaa wa maisha tena soon tu baada ya kujua kuna malaya anahudumiwa nje nayeye..mxeeew inauma jamani.
Nakwambiaje usalama wenu ni kuoa wamama wa nyumbani tuu mana ndo wanatiaga huruma sana utasikia anasema baba nanii ndo ananiweka mjini kwaio hawi na nguvu ya kusema unavyomuumiza au kuchukua maamuzi magumu mana ni aibu kurudi kwao na hana uwezo kujitegemea..vinginevyo hakuna upuuz utafanyika nikatulia na kukawa na amani..ntachofanya atajua mme wangu kama atakua kilaza nayeye kuacha kusterehesha familia akalee malaya. Sio wote tunaweza kubaki kwenye ndoa zilizokufa ndugu yangu wewe mbka ukaamua kulea mwanamke mwingine nje manaake hamna ndoa apo.Hivi we unafikiri ukijua mwezio anachepuka una kipi cha ziada cha kumfanya?
😆😆😆😆😆 we unafikili mjapani alikuwa kichaa kutengeneza kitairi kidogo cha njano kwenye buti.Ila wakuu tuache utani. Maisha ya ndoa bila mchepuko hayaendi kabisa kwakweli. Yaani nimegundua ukitaka ndoa yako idumu na iwe yenye amani na furaha, hakikisha hukosi angalau michepuko miwili nje.
Huu mchezo hautaki hasira..Umpatie kila kitu wewe umekuwa nani ikiwa Mungu tu hakupi kila kitu.
Nyie mafurushi tulieni na wake zenu mjenge familia zenu. Mnajitafutia wenyewe laana halafu mtakuja kutafuta mchawi nani.
Pathetic.
Hivi hamuoni haya kujitapa hadharani kwamba mnachepuka? Kweli wanaume wamebaki wachache
SawaOa kwanza mkuu


