BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Mimi nimeo ila nimejaribu pia kuwa na nyumba ndogo kipindi chote cha miaka 20 ya ndoa yangu. Kitu kimoja kimenishangaza hawa michepuko huwa lazima a cheat tu hata kama unampatia kila kitu.
Na nimeona hata kwa wenzangu nao wana shida hizo hizo na michepuko yao. Nimejaribu wasichana below 30 tabia ni hizo hizo, nimejaribu ma single mother over 35 nao tabia ni hizo hizo. Hivi nyie michepuko tuwafanyie nini ili mtulie?