Nyumba ndogo huleta heshima kwenye ndoa

Nyumba ndogo tamu sana unapata kitu roho inapenda mpaka unafaudu tiGo yaani raha tupu.
 
Kwa wale ambao hamjagundua kama waume zenu hawana nyumba ndogo mtalipinga sana hili........lakini kwa wale walio zidiwa kete na nyumba ndogo wanajua madhara yake mapenzi ni kama mchezo wa kuigiza au kama maua yananyauka na kukauka...yakikauka mwanaume anatafuta alternative ya kujiliwaza mwanamke ukigundua inabidi ureflect back na ujupange upya ili umrudishe mzee katika himaya yako mzee akiamua kuhalalisha kabisa na kufunga ndoa hapo mchezo ndo unakuwa umekwisha na nyumba kubwa kunywea na kusubili huruma tu ya mzee.
Akina mama jitahidini kujipanga na manjonjo mliyo kuwa mnapeana wkt wachumba ukiolewa usiyamwage bana mapenzi ubunifu utachukuliwa mme na watoto wadogo unajua wanavyo jua kubembeleza duh wanaume na nyumba ndogo zilizo humu zinajua bana weeeeeee acha tu unasahau mpaka home teh teh teh.
inasikitisha sana kwa jinsi baadhi ya wanaume wanavyotupia lawama kwa wake zao pindi mambo yakienda mrama.
yani ina maana mapenzi yakinyauka its a woman's fault? what about a man, what part does he have to play?
au yeye solution ni nyumba ndogo na kumuachia mke aandaike peke yake kulirudisha penzi...
this is rediculous lol!
 
Fidel80 na Masa!

Siwawezi, hivi wakati suala la TG halijakuwa kwa kasi mlikuwa mnapenda nini?? maana imewachanganya sana kwakweli,mkutane na wanaopenda sasa vinginnevyo mtaishia kununa!..
 
Kabla ya hii kuna vitu vingine vilikuja maaarufu sana kama mbuzi kagoma au chuma mboga n.k lakini navyo vilikuwa vinaonekana haramu kama wewe unavyo hili swala la TG lakini naamini hizo style hapo juu na wewe iwa unazifaudu sana.
 
...ha ha haaa...eti " Mbuzi Kagoma!"
 
Kabla ya hii kuna vitu vingine vilikuja maaarufu sana kama mbuzi kagoma au chuma mboga n.k lakini navyo vilikuwa vinaonekana haramu kama wewe unavyo hili swala la TG lakini naamini hizo style hapo juu na wewe iwa unazifaudu sana.

inaonekana nyumba ndogo ZINATOA KILA KITU KIZURI,maanake wanajua kuwa wao ni second selection na wanapenda kumteka mwanamume.

...............ndo maana huwa WANAJIBIDIISHA SANA
 
Kwa wale ambao hamjagundua kama waume zenu hawana nyumba ndogo mtalipinga sana hili........lakini kwa wale walio zidiwa kete na nyumba ndogo wanajua madhara yake mapenzi ni kama mchezo wa kuigiza au kama maua yananyauka na kukauka...yakikauka mwanaume anatafuta alternative ya kujiliwaza mwanamke ukigundua inabidi ureflect back na ujupange upya ili umrudishe mzee katika himaya yako mzee akiamua kuhalalisha kabisa na kufunga ndoa hapo mchezo ndo unakuwa umekwisha na nyumba kubwa kunywea na kusubili huruma tu ya mzee.
Akina mama jitahidini kujipanga na manjonjo mliyo kuwa mnapeana wkt wachumba ukiolewa usiyamwage bana mapenzi ubunifu utachukuliwa mme na watoto wadogo unajua wanavyo jua kubembeleza duh wanaume na nyumba ndogo zilizo humu zinajua bana weeeeeee acha tu unasahau mpaka home teh teh teh.

Sasa kama mume naye alianza na manjonjo maua kila weekend, simu 24/7 halafu akiacha njia ya kumrudisha ni kumtafutia serengeti boy au inakuwa vipi hapo!!
 
AKIACHA WE MTAFUTIE TU!akigundua mtagombana yataisha.

UZOEFU UNATUTHIBITISHIA KWAMBA,ukifumania siku ya kwanza unamezea mate tu.unaweza mfukuza mwanamke unaemfumania mara moja kwa mwezi ukampata unaemfumania mara moja kwa wiki.
 
Kwa wale ambao hamjagundua kama waume zenu hawana nyumba ndogo mtalipinga sana hili........lakini kwa wale walio zidiwa kete na nyumba ndogo wanajua madhara yake mapenzi ni kama mchezo wa kuigiza au kama maua yananyauka na kukauka...yakikauka mwanaume anatafuta alternative ya kujiliwaza mwanamke ukigundua inabidi ureflect back na ujupange upya ili umrudishe mzee katika himaya yako mzee akiamua kuhalalisha kabisa na kufunga ndoa hapo mchezo ndo unakuwa umekwisha na nyumba kubwa kunywea na kusubili huruma tu ya mzee.
Akina mama jitahidini kujipanga na manjonjo mliyo kuwa mnapeana wkt wachumba ukiolewa usiyamwage bana mapenzi ubunifu utachukuliwa mme na watoto wadogo unajua wanavyo jua kubembeleza duh wanaume na nyumba ndogo zilizo humu zinajua bana weeeeeee acha tu unasahau mpaka home teh teh teh.
kwa hiyo mkuu Fidel80 kwa point yako hiyo hapo juu unawahamasisha na akina dada kwamba wao pia wakikosa mapenzi waliyokuwa wanapata kwa waume zao hapo mwanzoni au wanaume wasipowapa wake zao kile wanachostahili au wakipunguziwa mapenzi na waume zao watafute mwanaume mwingine wa kuwatimizia ipasavyo au???????
 
Nyumba ndogo tamu sana unapata kitu roho inapenda mpaka unafaudu tiGo yaani raha tupu.
Samahani kusema haya mkuu lakini nathubutu kusema wanaume wote wanaotumia njia hii ya mapenzi hawaheshimu wanawake na hawana hofu ya Mungu hata kidogo.
 
Upo uvumi,kwamba mkeo AKISHAGUNDUA/AKITHIBITISHA KWAMBA UNA NYUMBA NDOGO,au una mke mdogo mahala fulani HESHIMA INARUDI kwa sababu:
-ANAJUA UNA ALTERNATIVE

-ANAAMINI UMEKAMATA NYUMBA NDOGO BAADA YA KUANGALIA MAPUNGUFU YAKE MENGI SANA

-ANAPIGANA KUFA NA KUPONA KUINUSURU DOA YAKE KWA SABABU INAKUWA KAMA IMEWEKWA REHANI

kwa sababu hiyo,mke mdogo anasaidia kuurudisha upendo wa mwanzo kwa mke wako wa ndoa.

JAMANI TUSAIDIANE MAWAZO HAPA,
jamani ya kweli
Naunga mkono hoja,
 
Mkuu Teamo mapenzi katika ndoa its a two way thing lakini naona wewe kwa point yako umeongelea sana mwanamke ukimaanisha kuwa kazi ya kufanya penzi limee na kustawi ni ya mwanamke peke yake,kwa hiyo we mwanaume hata ummistreat vipi mke wako au akose kile anachopaswa kupata toka kwako anapawa kuvumilia na kuendelea kuwa na wewe,ila wewe kosa moja tu linakupa haki ya kuwa na nyumba ndogo kucompasate mapungufu ya mkeo?Mke afanye nini kucompasate mapungufu ya mume? Mke ni robot hana hisia? hana Moyo?
 
Ila zamani bwana...!Hivi ni mimi nilianzisha huu uzi?
 
Back
Top Bottom