Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,802
- 34,193
Mambo yanaendelea kule. Hali ni mbaya sana.Najua zanzibar kutakuwa na mambo mengi sana mabaya yanaendelea, ikiwemo watu kunyanyaswa sema tu taarifa hakuna.
mkuu hawana access ya internet si wawe wana update humu?Najua zanzibar kutakuwa na mambo mengi sana mabaya yanaendelea, ikiwemo watu kunyanyaswa sema tu taarifa hakuna.
mkuu hawana access ya internet si wawe wana update humu?