Nyumba kwa ajili ya ofisi inahitajika

KASRI

Member
May 2, 2009
93
22
Wana JF,Inahitajika nyumba kwa ajili ya ofisi yenye sifa zifuatazo/zinazokaribiana na hizi hapa chini:1. Iwe Dar es Salaam maeneo ya Kinondoni/Mikocheni/Mwenge au Sinza.2. Iwe na uwezo wa kutumiwa na watumishi (staff) 20 na kuendelea.3. Iwe na eneo la kutosha kuegesha magari 10 na kuendelea.4. Iwe sehemu inayofikika kirahisi.5. Mmiliki awe tayari kwa mkataba wa muda mrefu (Miaka 5 na kuendelea).
 
Angalia hii hapa kama itakufaa, inafaa kwa ofisi, unaweza kwenda kuangalia, ipo mbezi beach,Ina standby generator, ina electrick fence, ina umeme na maji, ina internet cables n.k. kodi ni dola 3500 per month. If yes niambie nikutumie contact
View attachment 19872
 
Yah!Nashukuru, hiyo ingefaa sana ila location inanisumbua kidogo hasa kwa tunaotumia TZ11 (miguu+daladala). Rent is not a problem.Napenda iliyopo karibu na barabara.
 
Kinondoni along Kawawa Road, Ali Hassan Mwinyi road, Old Bagamoyo Road, New Bagamoyo Road, Sinza Kabla ya/au Mori, MwengeKijijini, Along Sam Nujoma Road etc.
 
Naomba niiuzie ofisi yenu au mdau yeyote gali la kazi - toyota vx milango saba, manual ya mwaka 2000. Bei maelewano simu yangu ni 0785828090.
 
Naomba niiuzie ofisi yenu au mdau yeyote gali la kazi - toyota vx milango saba, manual ya mwaka 2000. Bei maelewano simu yangu ni 0785828090.

Asante Julieth,
Ningependa nilione hilo gari Milango Saba labda nitashawishika.
Ila kwa sasa nguvu kubwa ni kupata ofisi itakayo nifaa.
 
:frusty::amen: 5yr contract whats the nature of your business,kuna property nadhani itakufaa. ila parking ni ya magari kama 6 hivi
 
Back
Top Bottom