Nyumba inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Masanilo, Apr 21, 2009.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  SPACIOUS AND NEAT HOUSE TO LET OR FOR SALE
  15 meters x 8 meters swimming pool
  3 BEDROOMS
  1 BATHROOM
  CHERRYWOOD KITCHEN
  LOUNGE
  NOOK/DINING ROOM
  DOUBLE GARAGE
  MASSIVE YARD
  ON BUS ROUTE


  AVAILABLE 30 APRIL 2009


  PRICE: Negotiable

  CONTACT
  Mr Masanilo
  Code:
  masanilo@jamiiforums.com

  [​IMG]
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu bado weka details za kutosha.
  1. Nyumba ipo maenedo gani?
  2. Bei ya kuanzia
  3. Na mambo mengine kibao.
  Unajua wengine madalali humu tunakula %.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hahaha nyumba hii ipo jijini Dar es Salaam

  Maeneo ya Msasani karibu na shopers plaza

  Inatumia solar

  In electronic security guard

  Bei maelewano lakini napokea the best offer preferably in USD!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu Masanilo weka bei ya kuanzia dola ngapi unaanzia?
  Maana nataka kumata mteja hapa anaulizia vitu kama swala la bei hilo. Unataka mteja apange bei uanze kumpandisha au kumshusha?
   
 5. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #5
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Sure,

  Location nzuri, maelezo mazuri lakini bei ya kuanzia muhimu mkuu. Taja dau la kuanzia ili wadau tuangalie kama tunaweza kujitutumua na tukishindwa tukutafutie wanaoweza
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Haya bana kwa kuanzia 40,000 USD ono
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Mi nina $32000 mkuu au nije private?
   
 8. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #8
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Hiyo naweza ku-afford (nikijinyima vingi), naomba picha hapahapa JF kurahisisha mambo mkuu.
   
 9. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Are you serious Masanilo? Unataka niende nikakope haraka haraka kama hiyo bei ni kweli!

  Hebu tuwe serious,kwa mambo yote uliyoyataja bei ni hiyo? unaweza kuweka na kapicha kidogo tuione kabla ya kusumbuka kwenda eneo la tukio?
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Masanilo naruhusiwa kuja kuiona??? au weka picha pls.
   
 11. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #11
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi nitatoa $35,000.00 endapo nitaona picha zake na kukubaliana na ilivyo. Kama hutoshuka bado tunaweza kuongea pembeni ili wadau wasijue umenikamuaje
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mzee hiyo ni yakuanzia haishuki inapanda, kama uko serious nakupa account yangu weka kabisa mshiko nalafu twende kuiona hakikisha una gumboat maana swimming pool hiyo unaiona sipendi kusumbuo biodiversity ya vyura na mbu hapo!
   
 13. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  I doubt kama kuna ukweli wowote katika hili! Masanailo hebu tuthibitishie hili kama hukuwa unaamsha hisia za watu tu hapa uone tunavyopagawa na proprties.
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mi nilipanda zote duh ngoja tusubili mbegu zetu kama tutarudishiwa nakuja kuchukua mjengo huo Masanilo.
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Serious buyers bei ya kuanzia ni 40,000 USD zaidi ya hapo usipoteze muda wako. pia nitatoa accounts yangu aliyeserious aweke japo deposit ya 20,000 USD tufanye biashara!
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Picha mwaiona? Mambo Ya DECI Fidel80
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Naona jamaa amekomaa kwenye $40,000/= hana utani sasa sijui nini maana ya bei maelewano duh.
   
 19. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  ...Usije ukawa unatupunga.
  Siwezi kuweka hela ktk akaunti yako kisha ndo nione mbuzi anayelia kama ni wa kweli au la.
  Weka picha ya nyumba hapa tuone au nitumie ktk PM ili nijue kama najinyonga kuipata au la.
  naona kama flat joke vile. niko doubtfull
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nimeweka picha haumuioni?

  [​IMG]
   
Loading...