Yakhe chonde bado sijaowa mwenzio nina watoto 3 wa kusingiziwa kwa wamama 3 tofauti tu sasa nikipigwa mawe utaleta shida
Nipo, ila hapo sikai hata kwa bure!!!!!!!!My sweet heart ...upo? kama ni wewe nakupa bureeeeeeee tuhamie hapo tufurahie maisha kwi kwi kwi....