Nyumba Inauzwa.

Nyumba Inauzwa.

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,883
,
 

Attachments

  • IMG_20211224_095957.jpg
    IMG_20211224_095957.jpg
    79.8 KB · Views: 27
Samahani mkuu hio kwenye picha ndio nyumba inayouzwa?



Ila anyway kwa kuwa ni ilala hata bei ya kiwanja kwa million tano hupati huenda ukapata mteja ila nakushauri ungeongeza details Zaid hasa upande wa picha nyuma na mbele.bila kusahau ukubwa wa uwanja.
 
Nyumba ipo jiji la ilala kata ya kitonga dar es salaam.

Sifa.
1.Inachoo kilichojengewa msingi futi 12
2.ipo karibu Sana na shule ya msingi Kitonga na zahanati ya kitonga.
3.vyumba vitatu sitting room na dinning room.
4.Ina ramani ya umeme.

Bei Ni 5m
Mimi sio Dalali
Mawasiliano 0784312904View attachment 2055801View attachment 2055803View attachment 2055802

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Hii ni nyumba au ni msingi wa nyumba mkuu

Kiwanja kina ukubwa gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom