usinisogeze
Senior Member
- May 6, 2017
- 199
- 122
Kijana biashara ni imani, hakuna haja ya kutangaza huna uvumilivu kwenye biashara.Kwasababu ya maswali ya kipuuzi, imeandikwa nyumba inauzwa mtu anauliza eti na beseni na gari na vyombo?
ishu ikiwa serious alafu mtu akileta upuuzi inakera sn
makaburi haya vp tena
Kweli kabisa, mm nina hasira kuna wapuuzi humu wanakera snKijana biashara ni imani, hakuna haja ya kutangaza huna uvumilivu kwenye biashara.
Wapi umetafuta? Alafu mm sijifichi nambie upo wapi nikufateNimejiridhisha baada ya kumtafuta huyu jamaa ukimtafuta anakuchorea ramani hazieleweki, zile ramani za kipigaji. JIHADHARINI NA TAPELI.
Jiziiiiii....hahaha nililistukia mapema sanaNimejiridhisha baada ya kumtafuta huyu jamaa ukimtafuta anakuchorea ramani hazieleweki, zile ramani za kipigaji. JIHADHARINI NA TAPELI.
Usiwafatishe wapuuzi wachache, hii nyumba haiuzwi kwa bei hiyo wala haina tatizo loloteChukua M30 kesho Nije tujaze mikataba
Unalipwa cash sio longo longo kama za 900 itapendeza
Nimekutapeli nini?Wakuu msinunue wala kumsikiliza huyu jamaa ni TAPELI. Type za kitapeli za mjini mtaibiwa hapa.
Namba inayoishia 39 umeijibu vipi?? Kwanini tumeshindwana private?? Hakuna biashara hapa.Wapi umetafuta? Alafu mm sijifichi nambie upo wapi nikufate
Hahaaa safi sana mkuu, hawezi kumpiga mtu humu labda aende fb. Huku matapeli wanafeli wote.Jiziiiiii....hahaha nililistukia mapema sana
Ramani gani nimekuchorea haieleweki? Ukitaka njoo uione nyumba hata kesho na ukitaka namba yangu nakupaNimejiridhisha baada ya kumtafuta huyu jamaa ukimtafuta anakuchorea ramani hazieleweki, zile ramani za kipigaji. JIHADHARINI NA TAPELI.
Wewe nimeshakutafuta angalia namba inayoishia 39. Tapeli wajinga wenzako.Ramani gani nimekuchorea haieleweki? Ukitaka njoo uione nyumba hata kesho na ukitaka namba yangu nakupa
Mm sitegemei hii nyumba iuzwe au isiuzwe sipunguziwi chochote
Huyu mwizi,Namba inayoishia 39 umeijibu vipi?? Kwanini tumeshindwana private?? Hakuna biashara hapa.
Sina namba inayoishia na 39 wala sijachat na ww pmNamba inayoishia 39 umeijibu vipi?? Kwanini tumeshindwana private?? Hakuna biashara hapa.
Jf jina lingine inaitwa "home of the great thinkers"Hahaaa safi sana mkuu, hawezi kumpiga mtu humu labda aende fb. Huku matapeli wanafeli wote.
Sina namba inayoishia na 39Wewe nimeshakutafuta angalia namba inayoishia 39. Tapeli wajinga wenzako.
Kua mkweli na ujibu swali hili tu.Ramani gani nimekuchorea haieleweki? Ukitaka njoo uione nyumba hata kesho na ukitaka namba yangu nakupa
Mm sitegemei hii nyumba iuzwe au isiuzwe sipunguziwi chochote