Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
- Thread starter
-
- #61
Hii nyumba si yangu, mm nimeweka tangazo tu humu kwahiyo iuzwe au isiuzwe mm sipati wala kupoteza chochoteUmeumbuka vibaya,
Unadhani hapa jf ni kama hamnazo kwengine......
Pambana na hali yako kaka...na utapeli wa hivyo ushakua hauna deal...so njoo na version nyingine ya utapeli.
Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app
Mbona unakuwa mkali tena kwa wateja?Tumia akili, hiyo post ya mwaka gani na hiyo nyumba ya mwaka gani
Sio lazima kila post lazima ucomment
Kwahiyo unataka kusema waliobomoa tanesco ubungo hawana akili?Huna hela tulia, inamaana huyu aliyejenga hii nyumba hana akili awekeze hela zake sehemu yenye majanga?
Kwahiyo hii itabomolewa? Sababu nini?Kwahiyo unataka kusema waliobomoa tanesco ubungo hawana akili?
Nimepanik sn kuitwa tapeli wakati sijamtapeli mtuduuuhhh.. mkuu ni nyumba halali kweli.. mbona unapanick sana
Akijibu nitagKwahiyo unataka kusema waliobomoa tanesco ubungo hawana akili?
Imejengwa chini ya kiwangoKwahiyo hii itabomolewa? Sababu nini?
Hahahahaha jiongeze kaka,duuuhhh.. mkuu ni nyumba halali kweli.. mbona unapanick sana
Kodi...?View attachment 657460View attachment 657461View attachment 657462View attachment 657463View attachment 657464View attachment 657465View attachment 657466
Ipo tabata
Ni nyumba mpya ya kisasa
Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja master
Bei mil 75 mazungumzo yapo
Kwa aliye serious anichek pm kwa maelezo zaidi
We matako umetapeliwa kitu gani?Hahahahaha jiongeze kaka,
Tapeli hili
Ya kwako ipo wapi iliyojengwa juu ya kiwango?Imejengwa chini ya kiwango
Kumbe huyu jamaa ni jambazi zoefu,We matako umetapeliwa kitu gani?
Bila shaka ww ni shoga muimba taarabuKumbe huyu jamaa ni jambazi zoefu,
Eti limenifuata pm, kunipa vitisho na matusi eti kisa nalichana ukweli live hapa jukwaani...
Acha kupenda mtelezo kijana...unapigwa pipe,
Hivi hata huruma huna na binaadamu wenzio...kazi kuendekeza ubinafsi na kujijali wewe na tumbo nako...
Yaani utasubiri saaana Kumkamata mtu na kumuuzia hilo banda la matope mlililolinaksi na sumenti...
Ishadoda hio,
Christmas lazima ikupite Kwa speed kubwa.
Hahahahahahahaha
HapanaInauzwa na hilo gari pia