Nyumba inauzwa bei rahisi kabisa, eneo la Mbezi ya Kimara km 2.5 hivi kutoka Kituo cha daladal temboni, Wahi bei Rahisi madalali hawatakiwi Mwenye Nyumba no. 0782052701
Weka hizi taarifaWeka tangazo la biashara vizuri. Kawaida unatakiwa useme sifa za nyumba, kama vile hati, maji, umeme, mpya au ya zamani, tiles, ezeko, sakafu (vigae, sementi au marumaru, n.k), nafikika kwa garii au ni kulaza kwa jirani au SSM????!!!na bei. Sasa ukitangaza general hasaidii sana.
Weka tangazo la biashara vizuri. Kawaida unatakiwa useme sifa za nyumba, kama vile hati, maji, umeme, mpya au ya zamani, tiles, ezeko, sakafu (vigae, sementi au marumaru, n.k), nafikika kwa garii au ni kulaza kwa jirani au SSM????!!!na bei. Sasa ukitangaza general hasaidii sana.
mfanga..kapicha basi maana bei nzuri...sor wadau nipo kwa Nadra sana Humu , ni mil. 35 negotiatiable, karibuni sana niliogopa kuweka bei ya kuanzia nisije kuwafukuza hata kabla hamjaona uzuri wa kiwanja na eneo nilisahau kuweka hapo eneo lina hewa saafi kabisa like that of beach
mfanga..kapicha basi maana bei nzuri...