Nyumba inauzwa na Benki ya Selcom

Nyumba inauzwa na Benki ya Selcom

Joined
Jun 11, 2011
Posts
83
Reaction score
49
NYUMBA INAUZWA NA BENKI
--------------------------
Benki ya Access Bank ambayo kwa sasa inafahamika kwa jina la Selcom Bank inauza nyumba ya Mteja wao kwa makubaliano maalum ili kuweza kufidia mkopo:

🇹🇿 NYUMBA IPO CHANIKA KIMWANI
📜 UMILIKI: TITLE DEED (HATI)
💼 BEI : 29m (Bei inazungumzika, Piga simu Toa ofa yako)

MAWASILIANO
------------------------
📳 Simu: 0679781081 au 0655782415
🔛Email: leonardngobole@yahoo.com

VIGEZO VYA NYUMBA
---------------------------
☀️ Vyumba vya kulala vitatu 3
☀️ Chumba kimoja ni master
☀️ Choo cha ndani na Bafu
☀️ Seating room
☀️ Dining room
☀️ Jiko
☀️ Store
☀️ Fensi
☀️ Nyumba ina Maji na umeme
☀️ Ukubwa wa Eneo: 400 sq/m
–––––––––––––––––––––––
 
Attachments

  • IMG-20250807-WA0009.jpg
    IMG-20250807-WA0009.jpg
    172.3 KB · Views: 21
  • IMG-20250807-WA0011.jpg
    IMG-20250807-WA0011.jpg
    102.3 KB · Views: 17
  • IMG-20250807-WA0010.jpg
    IMG-20250807-WA0010.jpg
    156.3 KB · Views: 23
  • IMG-20250807-WA0008.jpg
    IMG-20250807-WA0008.jpg
    98.2 KB · Views: 31
  • VID-20250807-WA0012.mp4
    20.3 MB
Kivipi mtani??
Zinakuwaga na shida kiroho. Alijenga ama alinunua gari ama chochote.. Akaenda bank kukopa akaweka hiyo mali kaka dhamana...
Kwasababu zozote zile mkopo ukashindikana kurudishwa mali ikapigwa mnada.. Kuna roho la nguvu hasi hapo ukiinunua hiyo mali usipokuwa makini linakuingia wewe
BTW hii ni biashara ya mtu tusiiharibu na haya mambo hapa..
 
Hii inabidi ishuke hadi 20 au ikizidi sana 23. Imebanana sana, inataka finishing nje na ndani, plus ni nje ya mji so kibiashara ni 50/50 possibly itafaa lakini zaidi ni ya kuwa kwaajiri ya makazi tu.
 
Hii inabidi ishuke hadi 20 au ikizidi sana 23. Imebanana sana, inataka finishing nje na ndani, plus ni nje ya mji so kibiashara ni 50/50 possibly itafaa lakini zaidi ni ya kuwa kwaajiri ya makazi tu.
Wamesema inazungumzika
 
Zinakuwaga na shida kiroho. Alijenga ama alinunua gari ama chochote.. Akaenda bank kukopa akaweka hiyo mali kaka dhamana...
Kwasababu zozote zile mkopo ukashindikana kurudishwa mali ikapigwa mnada.. Kuna roho la nguvu hasi hapo ukiinunua hiyo mali usipokuwa makini linakuingia wewe
BTW hii ni biashara ya mtu tusiiharibu na haya mambo hapa..
Noted
 
Back
Top Bottom