Nyumba inapangishwa tabata kimanga

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Nyumba ya kifahari inapangishwa tabata kimanga, karibu na stendi ya mabasi, nyumba ya kifahari, laki 8 kwa mwezi, picha inafuata muda si mrefu
 
ndio laki 8, unajua unaweza kukuta nyumba mikocheni laki moja? kikubwa ni ubora wa nyumba na ukubwa wake. Hata hiyo laki 8 utaona ni ndogo mwana JF
 
Nyumba ya kifahari inapangishwa tabata kimanga, karibu na stendi ya mabasi, nyumba ya kifahari, laki 8 kwa mwezi, picha inafuata muda si mrefu

Picha please na ukubwa wake naona maelezo hayajitoshelezi nina mtu anatafuta nyumba Tabata
 
Tabata Kabisa? tena Kimanga eti laki nane hahahahahahhahhahha mkuu u cant be seroius!!
 
Ni vyema maelezo yake yakaendana na picha. Tunaomba picha pleaseeee!!!!
 
laki 800,000 * 13(pamoja na dalali)=10,400,000
= No maji tabat kimanga
=Foleni kuamka sa 11
=Stendi full kelele
Duh kweli tutafika?bado Ada za xul,mafuta gari,msosi home,moja moto moja cold mmmh:israel::israel::israel:
 
gari ya kutembelea unapewa bure, mafuta full tank mara mbili kwa wiki, vinywaji mnapata bure na wahudumu wapo.
Karibu tbt
 
Nyumba ya kifahari inapangishwa tabata kimanga, karibu na stendi ya mabasi, nyumba ya kifahari, laki 8 kwa mwezi, picha inafuata muda si mrefu
Nyumba ya Kifahari iko karibu na stendi ya mabasi (First Disqualification)
Nyumba ya Kifahari (Kabla hata hatujaiona)
Laki nane kwa mwezi (Kuna maji, umeme, reserve tank la maji, ulinzi, spacious compound)
Picha inafuata muda si mrefu (Yaani tokea jana hadi leo bado unapiga picha tu hiyo nyumba ya kifahari)
 
ipo nyingine mkwajuni karibu na studio,mi bei imenishinda laakini kiwango mbaya, ni ghorofa ya pili ,floor nzima, ina vyumba vitano vyote self contained na shower rooms,full maji na luku yako,nyumba mpya kabisa na ina sebure tatu ,korido , vioo vya ku slide, full quality, pia ina parking geti waweza kuiniza gari 3 au 4, ULIZA BEI, LAKI 9 KWA MWEEZI. WENYE PESA CHANGAMKA, UKITAKA WAWEZA KUNI PM. NOTE: MIMI SIO DALALI,UTAONANA NA MWENYE NYUMBA.
 
Nyumba ya kifahari inapangishwa tabata kimanga, karibu na stendi ya mabasi, nyumba ya kifahari, laki 8 kwa mwezi, picha inafuata muda si mrefu

800,000 TZS : Tabata Kimanga? No way! Hata 300,000TZS siwezi kulipia nyumba ya kupanga Tabata!
 
mishahara yenyewe ni hizo tgs ngapia sijui uniambie nipange kwa laki 8, kodi ya mwaka tuu nakaribia kumaliza yangu!
 
Back
Top Bottom