Nyumba inapangishwa 150,000

Nyumba inapangishwa 150,000

Mkuu niliona nimalize vyote ndo nije kwenye umeme. Mwezi ujao ndo naanza kufatilia, ulinzi upo vizuri, maana majirani sijasikia wakilalamika, gari linafika hadi mlangoni, na sio mbali kutoka barabara ya mbexi goba, ni kama dakika kumi kufika
cheers
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom