NEXTLEVEL
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 857
- 396
Mkuu haina umeme bado, utaridhika kwa 100000[/QUOTE]Mimi nije kesho kuiona mkuu
Kuona mkuu kisha mengine yatafuatia.
Mkuu haina umeme bado, utaridhika kwa 100000[/QUOTE]Mimi nije kesho kuiona mkuu
50,000/= kwa usawa wa Dr MagufuliDah we jamaa umenifanya nicheke, hiyo nimejenga kwa ajili ya kupangisha, wewe nipe ushauri naweza kupangisha kwa kiais gani kwa sasa kabla ya umeme.Ila hautochukua mda
Kumbe na wewe umeshikishwa ukuta...50,000/= kwa usawa wa Dr Magufuli

Lema ndo kashika ukutaKumbe na wewe umeshikishwa ukuta...![]()
![]()
![]()
Lema yupo ngangari, ni kama Mandela! Ngoja atoke uone moto wake..Lema ndo kashika ukuta
pimbi kweli wewe...Not bad chief isipokuwa ungelezea kwanini umeme bado au ni kwamba wataka mtu alipie kwanza ndiyo umeekee umeme?Wakuu heshima zenu.
Kama thread inavyosema, nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Dinning, sitting room
-Jiko na choo cha jumuia
-Choo cha nje
-Ina sifa zingine, isipokuwa umeme bado kuunganisha, ipo mbioni
-Fence imeanza kujengwa
-Nyumba ipo freetown, njia ya kwenda goba, karibu na kwa mbunge mstaafu
Karibuni wadau
Hahahaha wewe Naona ht bando umelipiwa na makeneLema yupo ngangari, ni kama Mandela! Ngoja atoke uone moto wake..
Wewe hata 500 ya coca huna..
Unagongea,![]()
pimbi kweli wewe...
Never, mifuko yangu imetuna kama vipi, njoo hapa viva park tabata nikuwezeshe!!Hahahaha wewe Naona ht bando umelipiwa na makene
Mkuu niliona nimalize vyote ndo nije kwenye umeme. Mwezi ujao ndo naanza kufatilia, ulinzi upo vizuri, maana majirani sijasikia wakilalamika, gari linafika hadi mlangoni, na sio mbali kutoka barabara ya mbexi goba, ni kama dakika kumi kufikaNot bad chief isipokuwa ungelezea kwanini umeme bado au ni kwamba wataka mtu alipie kwanza ndiyo umeekee umeme?
Kitu ingine ipo accessible?
Ushauri mwingine check securityof the place etc so far siyo mbaya...
Jaribu ku post zoom tanzania pia ila put clear details
Kumbe mtu mwenyewe waishi tabata? Karibu kwangu mikocheni BNever, mifuko yangu imetuna kama vipi, njoo hapa viva park tabata nikuwezeshe!!
Nitakulipia teksi au kama una passo nitakuwekea mafuta...
Wewe pimbi pimbi kweli..! Nimekuambia njoo tabata wewe jinsi ulivyo fara unakariri fasta,Kumbe mtu mwenyewe waishi tabata? Karibu kwangu mikocheni B
Wewee Ndiyo umeanza kujionesha mifuko Umetuna na wakaa Tabata boya kabisa wakuapuaji wa bandari make majizi wote bongo mapango yao tbtWewe pimbi pimbi kweli..! Nimekuambia njoo tabata wewe jinsi ulivyo fara unakariri fasta,
Wanaoishi mikocheni hawajitatangazi, hata kama unaishi mikocheni basi kwa mjomba wako!!
Na kuishi mikolcheni siyo ujanja wala kuwa na hela...
Sitakagi exponsure za kijinga kama hizo unazotaka kuleta...
Wewee Ndiyo umeanza kujionesha mifuko Umetuna na wakaa Tabata boya kabisa wakuapuaji wa bandari make majizi wote bongo mapango yao tbt
kwa taarifa yako huko bandarini sipo, nina mambo yangu halali na ninalipa kodi...Mkuu haina umeme bado, utaridhika kwa 100000[/QUOTE]Mimi nije kesho kuiona mkuu
Mkuu haina umeme bado, utaridhika kwa 100000
Mkuu naanza kufatilia mwaka mpya.Tatizo nilitaka kuipotezea kidogo, ila nimepata nguvu baada ya kujua ntapata mpangaji wa kiwango gani.vaikukifatilia st: 19046996 said:umeme ni tsh 320,000 kama nguzo ipo karibu, na unachukua not more than 2 weeks..
sasa una mali yote hiyo afu unasema laki 3 ya umeme inaku slow down??
Tutaongea hilo la umeme cha msingi nioneNEXTLnkakuambia.: 19047276 said:Mkuu hujanipa taarifa utakuwa around nijekuona?