mputamaseko
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,401
- 949
Inategemea unaongea na wadau wa hali gani..unaweza weka mpaka 200,000/= na wakapatikana wa kuja kupanga..chagua unataka daraja gani la wapangaji unao wataka hawa wapangaji wa cheap cheap wanasumbua sana wakati wa malipo.Mkuu wadau wameniambia 80 to 100, sasa hapo si nitakosa mpangaji, maana hiyo 150 wadau wamekataa, sasa 180 tena. Hebu nifafanulie