- Thread starter
- #41
Asante mkuu ndio naanza mchakato baada ya mwaka mpya na huko ni REA ndio saivi wapo nina imani haitachukua muda mrefuOk, sikuwa na nia mbaya mkuu!
Btw weka umeme, believe haitachukua wiki utapata mpangaji kwa bei nzuri!
Asante mkuu ndio naanza mchakato baada ya mwaka mpya na huko ni REA ndio saivi wapo nina imani haitachukua muda mrefuOk, sikuwa na nia mbaya mkuu!
Btw weka umeme, believe haitachukua wiki utapata mpangaji kwa bei nzuri!
Kila kheri mkuu...Asante mkuu ndio naanza mchakato baada ya mwaka mpya na huko ni REA ndio saivi wapo nina imani haitachukua muda mrefu
Asante mkuu, tupo pamoja, jf ni yetu sote, inarahisisha mambo mengi ya kimaishaKila kheri mkuu...
Labda fanya 70,000 kwa mwaka, watu wanaweza kufikiria kuja huko, mkuu.Dah we jamaa umenifanya nicheke, hiyo nimejenga kwa ajili ya kupangisha, wewe nipe ushauri naweza kupangisha kwa kiais gani kwa sasa kabla ya umeme.Ila hautochukua mda
Mwenzio nimemshauri afanye elf 70 kwa mwaka.elf80
Asante mkuuLabda fanya 70,000 kwa mwaka, watu wanaweza kufikiria kuja huko, mkuu.
Nimekupata mkuu....achana na habari za kupangisha,laki kwa miezi 6..,tena namna ya kulipana huna tatizo?.
..sheikh hiyo miezi 6 mingi saaaana ukipata mpangaji asiethamini cha mtu;utakuja lia nakwambia!
Mkuu kweli ni ndani, ila sio hivyo unavyoomanisha wewe. Ungekuwa unapafahamu vizuri, na usafiri wa uhakika upoMwenzio nimemshauri afanye elf 70 kwa mwaka.
Yaani ndani kote huko mtu apange sehemu isiyo na umeme kwa bei hiyo?
Anyway, tunatofautiana mitazamo.
Nani ni matapeli mkuu,fafanuaHao ni matapeli, usiseme sijakwambia
we ndio fafanuaKwanini mkuu,hebu fafanua
Ukiihitaji nakupm, wala usijali kwa hiloMkuu mbona number hakuna?
Hiyo Nyumba INA Kodi ngapi kuna MTU katuma kodi 100000/ wewe kodi 150000/ tushike ipiWakuu heshima zenu.
Kama thread inavyosema, nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Dinning, sitting room
-Jiko na choo cha jumuia
-Choo cha nje
-Ina sifa zingine, isipokuwa umeme bado kuunganisha, ipo mbioni
-Fence imeanza kujengwa
-Nyumba ipo freetown, njia ya kwenda goba, karibu na kwa mbunge mstaafu
Karibuni wadau
Ni kwamba baada ya ushauri ndio nikaanzisha topic nyingine kwa 100000 ili kuipa uzito[/QUOTE][QUmwamba EXTLEVEL, post: 19018480, member: 67229"]Nimeona 100 naona 150 tena?
Mimi nije kesho kuiona mkuu[/QUOTE]Ni kwamba baada ya ushauri ndio nikaanzisha topic nyingine kwa 100000 ili kuipa uzito