Nyumba inapangishwa 150,000

bullion

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
309
112
Wakuu heshima zenu.
Kama thread inavyosema, nyumba ina sifa zifuatazo
-Vyumba vitatu, kimoja master
-Dinning, sitting room
-Jiko na choo cha jumuia
-Choo cha nje
-Ina sifa zingine, isipokuwa umeme bado kuunganisha, ipo mbioni
-Fence imeanza kujengwa
-Nyumba ipo freetown, njia ya kwenda goba, karibu na kwa mbunge mstaafu

Karibuni wadau
 
kwa eneo ulilotaja unganisha umeme na fence ndio urudi na utuambie kama kuna maji ya aina gani karibu
Maji ya huko ni ya kununua, kama sehemu nyingi za uko unavyofahamu. Ila kuna jirani ana maji, sasa uamuzi ni wa mtu anayeishi hapo karibu.Je unaweza nishauri kwa hatua hiyo nipangishe kwa bei gani, maana hakuna mtu wa kukaa hapo
 
tena ungeanzia LAKI MBILI ila haa hutakosa waangaji nakuhakikishia maana ukiweka bei ya chini sana haitaswihi
 
tena ungeanzia LAKI MBILI ila haa hutakosa waangaji nakuhakikishia maana ukiweka bei ya chini sana haitaswihi
Mkuu naomba ushauri wa moja kwa moja, ni kiasi gani kwa sasa naweza pangisha. Wewe unapafahamu, naomba mwongozo wako
 
Anza na elfu 50 hiyo nyumba isiyo na umeme ukiweka umeme utaongeza maana huko kila kitu ni tabu
Mkuu ni kweli, ila usafiri mpaka saa sita usiku upo, maji jirani anayo, kwa ufupi useme umeme, na mbali na mjini ila mengine sio tabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom