BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
- Thread starter
- #41
Makadirio yako sio mabaya sana, nimetumia bati 160Msaidie kwa idadi ya bati za 3m itakuwa 532÷ 3= 177 Bati
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Makadirio yako sio mabaya sana, nimetumia bati 160Msaidie kwa idadi ya bati za 3m itakuwa 532÷ 3= 177 Bati
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Bati moja ni bei gani mkuu?Makadirio yako sio mabaya sana, nimetumia bati 160
Alaf gauge 30 bei ni sh 38,100. Kumbuka bei zinabadilika kila sikuBati moja ni bei gani mkuu?
Sawa mkuu, Ujenzi ni gharama. Hakuna namna zaidi ya kuukabiliAlaf gauge 30 bei ni sh 38,100. Kumbuka bei zinabadilika kila siku