Nyuma yako - Riwaya ya SteveMollel

Nyuma yako - Riwaya ya SteveMollel

Ngoja afundishwe mtu adabu na kazi tupatie hapo
 
Fafanua mkuu, Steve amekosa nini? au kwa kufanya biashara humu bila kulipa kodi? Au kafanya makosa ya kutuma namba za Simu. Naomba busara itumike kabla ya kumuhukumu. Steve bado tunamuhitaji humu - JF
 
Anamaanisha kwenye riwaya jamaa kaomba kazi ya ulinzi atajaribiwa kwa kupewa mtu apigane naye. Ndio atamfunza adabu
 
mmh..jamani Tevie... ameongea vizuri tu...
Tumchangie 2000 ...anakutumia kwa whats up..
Kwa huyu ni sawa kufanya hi yo maana ameshaposti hadithi nyingi sana humu bila malipo yoyote.
Tujikaze kidoogo kwa hili basi wakuu... na yeye apate walau nguvu kidogo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa tuliombali na tz tunafanyeje??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom