NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Jan 15, 2015 #2 Kioo cha jamii.
bucca JF-Expert Member Joined Oct 24, 2013 Posts 540 Reaction score 85 Jan 15, 2015 #3 Hiyo ni project au?
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,438 Jan 15, 2015 #4 Ngoja waamke! Vaa helmet kabisa!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,120 Jan 15, 2015 Thread starter #5 bucca said: Hiyo ni project au? Click to expand... Uncensored...!!!
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 Jan 15, 2015 #6 Pesa mwanaharamu...!
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,372 Jan 15, 2015 #7 Hizo ngoko nimechekaje
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Jan 15, 2015 #8 Hao ndo wasanii wetu wanaoalikwa Ikulu.,
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,120 Jan 15, 2015 Thread starter #9 jogi said: Hizo ngoko nimechekaje Click to expand... Hahahahaaaa utafikiri mpingo! Lakini pesa bwana mwanaharamu zimekarabatiwa hizo sasa hivi ukiziona hutaamini
jogi said: Hizo ngoko nimechekaje Click to expand... Hahahahaaaa utafikiri mpingo! Lakini pesa bwana mwanaharamu zimekarabatiwa hizo sasa hivi ukiziona hutaamini
Bangsweezy JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 880 Reaction score 202 Jan 15, 2015 #10 hapo wa shoot muvie au ndo kichupa kingine cha kiasili
I Itonjanda JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 638 Reaction score 353 Jan 15, 2015 #11 Wanajiandaa kwenda kwa mukulu kuonana naye..
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 15, 2015 #12 mshana jr said: View attachment 218685 Click to expand... Enzi hizo dogo alikuwa choka mbaya! Kweli hela ni sabuni ya roho.
mshana jr said: View attachment 218685 Click to expand... Enzi hizo dogo alikuwa choka mbaya! Kweli hela ni sabuni ya roho.
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,351 Reaction score 8,088 Jan 15, 2015 #13 mshana jr said: Hahahahaaaa utafikiri mpingo! Lakini pesa bwana mwanaharamu zimekarabatiwa hizo sasa hivi ukiziona hutaamini Click to expand... ! ! siku hizi watu wanajiedit tu kwani nini?
mshana jr said: Hahahahaaaa utafikiri mpingo! Lakini pesa bwana mwanaharamu zimekarabatiwa hizo sasa hivi ukiziona hutaamini Click to expand... ! ! siku hizi watu wanajiedit tu kwani nini?
Lusajo11 JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 1,887 Reaction score 1,970 Jan 15, 2015 #14 jogi said: Hizo ngoko nimechekaje Click to expand... Hahahahaaa kuna mtu kaziita mpingo nikapaliwa kabisa na maneno yakaisha
jogi said: Hizo ngoko nimechekaje Click to expand... Hahahahaaa kuna mtu kaziita mpingo nikapaliwa kabisa na maneno yakaisha