Nyuki wema, nyuki wabaya!

Hakuna wanga ila mazingaombwe kwa sana
 
Mkuu mshana naomba unisaidie kuna mwaka 2008 kuna mtoto alikuwa mgonjwa likaja kundi la nyuki wakata kwenye mti kalibu kabisa n nyumba alimokuwa mgonjwa bahati mbaya alifariki siku ya mazishi yake wale nyuki wakatawanyika lakini hawakudhuru mtu baada ya mazishi hatukuwaona tena je walikuwa wa kheri au shari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikuja kumchukua[emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
Kweli aisee wiki mbili [emoji219][emoji219] wamekuwa wapo ktk nyumba yangu ila hawana madhara.
Somo zuri[emoji219]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana jr, je? kwa watu ambao huwa wanaotaa usiku nyuki zinamfata na kumzingira hii inamaanisha nini??
 

Mshana unataka kusema kilichotokea kwa mpishi wa PM majaliwa wale wa kutumwa au bahat mbaya
 
Kwahiyo mpishi wa mama samia nyuki wabaya
 

Mimi ninachotaka, ni kujua tu namna ya kuwatuma waende mahali flani hivi wakachimbe bit na kusepa basi!!
Hebu nipe somo...
 
Mshana unataka kusema kilichotokea kwa mpishi wa PM majaliwa wale wa kutumwa au bahat mbaya
Nyuki hawamdhuru mtu mpaka wachokozwe maam kuwe na la ziada kwenye ulimwengu wa giza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…