Nyuki wema, nyuki wabaya!

Sasa naitumiaje mshanar Jr naomba nieleze japo kwa ufupi: nilazima ikolee sana kwenye maji au kijiko kimoja kwenye kindoo"
Kiganja kimoja ndoo ya Lita 20
 
Brother Mshana Jr: Asante kwa uzi mubashara. Umenikumbusha kuna mahali nilidokezwa kwamba nyuki wanapokuuma sio tu kwamba utapata maumivu makali lakini pia sumu yao(bee-venom) hiyo ni tiba ya tatizo la Arthritis (mauzmivu ya viungo). Nikaangalishwa niwachunguze warina asali wasiotumia kinga kama wanasumbuliwa na tatizo la Arthritis.
 
Natumia chumvi ipi ile ya mawe au hii hii ya kiwandani?
Kiasi gani cha kuchanganyia na maji kabla ya kuoga
 
Tatizo nyuki wa Dizaini hiyo ambao wanatengenezwa na kina mkuu Mshana
na Likudi wanaweza kufufukia tumboni, wakaligeuza tumbo kuwa Mzinga ingawa
unaweza kupata faida ya kutoa haja kubwa ya masega na kukojoa asali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NIMERUDIA KUSOMA X2 LAKINI NIMETOKA KAPA, NIMEAMBULIA TU CHITCHAT SIO PAZURI..KIVIPI?
 
We jamaa lazma utakuja kua mchawi,mwanga mkubwa siku zijazo,,
Alafu utakuja kutusumbua majumba ni kwetu,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…