Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,534
- 5,342
NA BADO!pole mwaya.Nyota inayotawala mapenzi yangu imechafuka.
Nyumbani waifu kanichunia, na kitumbua hajanipa wiki ya tatu now.
Nyumba ndogo na kwenyewe nimepigwa chini, yaani demu hataki hata kuiona nikimpigia.
Kuna dada mitaa ya kijitonyama nimemtongoza, eti anataka nimlipie kodi ya nyumba ya miaka mitano ndio anikubali.
Wataalam wa kutengeneza nyota mnatakiwa kwa ajili ya advice
Nyota inayotawala mapenzi yangu imechafuka.

Pole sana. Jina lako na pepo za bahari za kusi zinaenda halijojo. Uje na majogoo ya kienyeji 2, vitunguu saumu nusu kg, tangawizi kg 1 na mkaa gunia. Hii ni kwa ajili ya kurudisha nyota ya nyumba ndogo.
Kuhusu my wifw wako, ukete mbuzi anetembea mweusi (awe kanona mafuta ndo yanatengeneza dawa), nakutumia namba ya luku ununue umeme wa 50,000/= tu ili mapenzi yarudi kwa mnunurisho.
Hahahaha kaoge maji ya baharini utoe nuksi mkuu,hata corner bar usipoangalia unaweza kutoka kapaNyota inayotawala mapenzi yangu imechafuka.
Nyumbani waifu kanichunia, na kitumbua hajanipa wiki ya tatu now.
Nyumba ndogo na kwenyewe nimepigwa chini, yaani demu hataki hata kuiona nikimpigia.
Kuna dada mitaa ya kijitonyama nimemtongoza, eti anataka nimlipie kodi ya nyumba ya miaka mitano ndio anikubali.
Wataalam wa kutengeneza nyota mnatakiwa kwa ajili ya advice
Anayeulizia nyota hana tofauti na freemasons tu,,kugombana na mke wako sio suala geni wengi wanagombana na wanasuluhisha,kwa hiyo tatizo ni wewe inabidi ujishushe umpigie magoti mkeo.
Hahahaha kaoge maji ya baharini utoe nuksi mkuu,hata corner bar usipoangalia unaweza kutoka kapa
Pole sana. Jina lako na pepo za bahari za kusi zinaenda halijojo. Uje na majogoo ya kienyeji 2, vitunguu saumu nusu kg, tangawizi kg 1 na mkaa gunia. Hii ni kwa ajili ya kurudisha nyota ya nyumba ndogo.
Kuhusu my wifw wako, ukete mbuzi anetembea mweusi (awe kanona mafuta ndo yanatengeneza dawa), nakutumia namba ya luku ununue umeme wa 50,000/= tu ili mapenzi yarudi kwa mnunurisho.
Tuma haraka nikununulie umeme
Nyota ikichafuka husafishwa.
Mtafute Manyaunyau akusafishie.