Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 29/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
jumapili hii unatakiwa uwe makini sana katika kazi zako yani sehemu unayofanyia kazi au sehemu ulio ajiriwa umakini wako Wa hali ya juu unaweza kukusaidia kupambana na uwadui ulio nao kwa maana inaonekana una uwadui mkubwa sana na kuna kundi la maadui zako wanataka kukushusha chini kabisa hivyo jaribu kuwa msiri wakati unapofanya mambo yako ya kimaendeleo.
•Mahusiano yako yataingia vurugu na uadui mkubwa ndani yake lakini yote yanapita utulivu utarejea baada ya mmoja wenu kujishusha au kubadilika.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
jumapili hii ni nzuri kwako ingawa unaona kama utakwama kutokana na majukumu mengi ulio nayo pamoja na kuuguliwa na watu wako wa karibu lakini tarajia mambo mazuri kipato kizuri jumapili hii na wale watu wako Wa karibu wenye matatizo ya kiafya leo hii mungu atawapa nafuu hivyo endelea kupangilia mipango yako bila kujali au kuogopa majukumu ulio nayo ukiwa jasiri bila kuogopa utapiga hatuwa kubwa sana kutokana na kujiamini kwako pia omba mungu sana ili uzidi kupata wepesi katika mambo yako.
•Mahusiano yako yatakuwa na utulivu na leo utasikilizwa zaidi na mwenzako jitahidi kutumia zaidi busara kuliko nguvu inaweza kukujengea kinyongo kibaya kwa mwenzako na ukashindwa kufanya mengine ya kimaendeleo kutokana na kinyongo chake.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Kazi zako zitaenda kwa uzito uzito na makelele lakini mwisho itakuwa vizuri na manufaa yataonekana.
•Inaonekana una mpenzi zaidi ya mmoja lakini unashindwa kuchaguwa yupi uwe nae yupi umuache nivyema ukafikiria na kuwazuwa ili uweze kuchukuwa maamuzi sahihii kwani usipofanya maamuzi unaweza ukaachwa na mtu unaempenda.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
jumapili hii ni nzuri kwako ingawa una vikwazo vya hapa na pale katika utafutaji wako lakini omba mungu jumapili hii unaweza kufanya vizuri na unaweza kupata fedha usio itegemea.
•Safari zako ni nzuri ila usiwahi utapata maudhi maudhi lakini utafika salama.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Kazi zako ni nzuri na zipo katika hali nzuri licha ya maneno maneno lakini hakuna madhara yoyote dhidi yako kwa sasa kutokana nguvu kubwa inayokulinda kutokana na kikubwa ulichokitoa miezi kadhaa iliyopita unasimamiwa mengi na vingi hivyo jivunie kuwa salama.
•Inawezekana unajuta kwanini mapenzi yamekufikisha hapo ulipo sasahivi yani inaonekana furaha kwako inakuja kama ngekewa kutokana na maudhi unayo yapata katika uhusiano wako wa sasa unaweza ukajiuliza kwanini na pia unadhani umekosea kuchaguwa au tamaa ilikuponza ni mengi ulio nayo yanayokutesa juu ya mapenzi unashauriwa uwe mtu mwenye subra na upate ushauri wa kinyota.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
jumapili hii ni nzuri kwako huenda ukapata bahati ya kukutana na watu usio watarajia pia unashauriwa usikurupuke katika kufanya maamuzi yani jambo lolote lile utakalotaka kulifanya jaribu kufikiria kabla ya kufanya maamuzi usipo kuwa makini unaweza ukajikuta unapata hasara ya kifedha au kuingia kwenye matatizo usio yatarajia.
•Utapokea taarifa nzuri sana leo na mambo mazuri yatakutokea haja zako nyingi zitatimia na utafanikiwa.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Kazi zako zinaonekana kwenda vizuri ila mapokeo ya watu na ofisi hayatakuwa mazuri kwako licha ya kuonyesha bidii kubwa dhidi ya hilo.
•Mapenzi kwako yana uzito mkubwa sana hivyo nilazma ujiamini na kujiwekea mikakati ingawa wakati mwingine unaona mapenzi hayana umuhimu kwako lakini ni ngumu kuishi bila mpenzi hivyo mitihani midogo midogo usikuzuzue kikubwa uwe na mapenzi ya kweli kutoka moyoni hiyo itakufanya kupata wepesi wa kukamilisha majukumu yako na mipango ulio Nayo katika uhusiano wako.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
jumapili hii ni nzuri kwako ingawa ni mtu uliejikatia tamaa kutokana na tabu na shida unazopitia ila leo hii unaweza ukapata ufumbuzi wa jambo muhimu sana katika maisha hivyo unahitajika kuomba mungu sana na subra inahitajika bila kukata tamaa.
•Mahusiano yako yapo vizuri ila mtu mpya uliyenae kwa sasa yupo kwako kimaana kimaslahi hana madhara ya nuksi kwako au matatizo dhidi yako ila usimuamini sana unaweza kulia msimu ambae yeye ndio anakucheka.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
jumapili hii sio mbaya kwako ingawa inaonekana umetawaliwa sana na msongo wa mawazo kwakuwa kila unachokifanya hakiwi unahisi huenda unabahati mbaya inawezekana kuna sehemu umekosea lakini bado hujajuwa ila jitahidi kufanya ufumbuzi huenda leo hii ikawa nzuri kwako na siku zijazo huenda ukasahau kile kinachokutesa katika maisha yako.
•Safari zako ni nzuri na zina kheri nyingi kwako moyo ukikataa kutoka ghairi panga siku nyingine na lolote unalolitilia shaka ni kweli lizingatie lina umuhimu kwako hata ukijikwaa usichukulie rahisi ipo maana yake.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Utapokea habari mbaya leo aidha ya msiba wa mtu unayemfahamu au maarufu au mambo ya kutisha au kuona tukio baya la huzuni stahmili ni mambo ya kawaida na yanapita tu.
•Inawezekana unampenda mtu asiekujali wala kukuthamini pia huenda unalia kila siku kama mjinga fulani hivi Inawezekana unalia kwa ajili ya mtu Fulani lakini mtu mwenyewe haoni thamani ya chozi lako subra unayo sana chukuwa maamuzi unayo yaona yanafaa ili uweze kuondokana na shida na mitihani unayo pitia katika mahusiano yako ya kimapenzi pia kupata ushauri wa kinyota inaweza kuwa nafuu kwako.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
jumapili hii ni nzuri kwako ila unashauriwa jambo lolote utakalolipanga katika jumapili hii unashauriwa utumie hekima na busara yani usikurupuke katika kupambanga mambo kwani ukifanya hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kufeli pia uwe na matumizi mazuri ya kifedha ili uweze kupambana na mazingira magumu ulionayo.
•Safari zako ni nzito leo na utaona ugumu mwingi pia safari inaweza kufa hivyo ikiwezekana ghairi au chelewa zaidi kutoka.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
jumapili hii ni nzuri kiasi kwako kwani inaonyesha baadhi ya mipango yako itafanikiwa ingawa inaonyesha umeeandamwa na maadui wengi lakini utafauli katika baadhi ya mambo yako kikubwa nikuwa makini na kujitahidi kuomba mungu.
•Mahusiano yako yataingia doa mpaka utatamani yasiwepo tu yaishe ili uishi kwa amani zaidi hii inatokana na uadui wa nje unaoonekana kufuatilia zaidi maisha yako ndio unaamua kupitia humo.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.