Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
NYOTA YAKO LEO JUMANNE JUNI 17/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Utapokea salamu au mgeni ambaye ni jamaa yako wa karibu kutoka mbali ni siku ambayo unahitajika kufanya mageuzi makubwa katika shughuli zako Ile mipango yako haitatimia mpaka utakaporudi safari yako.
•Watoto wako wana vita au uadui wafanyie maombi ya hapa na pale ili kuwaimarisha zaidi kimasomo na kiutafutaji kwakuwa wote wanauwezo mzuri ila uadui mchache unawayumbisha.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Unahitajika nyumbani na wazee ukakabidhiwe majukumu ya uongozi wa familia Kutana na viongozi watakupa maelekezo masuala ya kazi na biashara vitakuendea vema fanya kadri uwezavyo.
•Maradhi yatasumbua nyumba yako kwa maana ya mmeo au mkeo au wanao yanapita ila maradhi yanatokana na kitu kilicholetwa kutoka nje hivyo wape tahadhari ya kupokea vyakula vya nje kwa siku hizi mbili tatu ili kujihadhari na jaribio hilo la maradhi.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Marafiki watakuwa misaada mkubwa kwako usikae mbali nao kuna jambo watakushirikisha Kipindi hiki utajikuta umepata matumaini na kufanikiwa kuzidhibiti shughuli zako usikose kwenye mkutano utakao alikwa.
•Katika mahusiano utakuwa imara na mawasiliano yatakuwa bora na mwenza wako Utakuwa na hamu ya kufanya maendeleo makubwa.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Utajikuta unapingwa na kila mtu ni siku ambayo utapambana na vikwàzo vingi Lile wimbi la kukosa bado linakuandama omba msaàda utapewa lakini hautakidhi shida zako.
•Utapokea ujumbe mzuri leo kila mtu atakuwa na furaha akiwa karibu yako.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Anzisha mahusiano na mtu mwingine achana na huyo uliyenae hutapata mabadiliko yoyote unatakiwa kujali mipango yako ya maisha tafuta njia mpya za kujiongezea kipato.
•Unashauriwa kuanza na shughuli yoyote ile itakwenda vizuri na kukuletea mafanikio.
★NG'E– SCORPION 🦂(Oktoba 24– November 21)
Huitaji kutumia nguvu nyingi siku ya leo kila kitu kiko tambarare kuhusu kazi utafanikiwa kuipata masuala ya pesa yasikuumize kichwa utafanikiwa kupata bila usumbufu wakumbushe unaowadai na fuatilia stahiki zako.
•Utaonyesha ukarimu katika mahusiano yako Katika mahusiano yako utakuwa na mshikamano na mpenzi wako huku hisia za kimapenzi zitaongezeka Leo unaweza kwenda safari na mpendwa wako.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Kaa mbali na jamaa zako jitahidi kutofanya mawasiliano nao Ile shughuli unayotaka kuuanzisha usimuhusishe jamaa yako yoyote atakuchelewesha punguza kuwatembelea mara kwa mara Badilisha mpango wako wa awali kuhusiana na safari.
•Katika siku ya leo utamu utaongezeka kila mahala na kuifanya siku yako kuwa imara zaidi.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Kila unachofanya hakitakwenda sawa kama hutakutana na viongozi wako kuna nafasi kubwa ya kupata mafanikio kama utazingatia ushauri wao jishushe kidogo nazi haishindani na jiwe kuwa mtulivu.
•Utakuwa na ukaribu na wanafamilia wako Utakuwa mtu muhimu leo kwa mpenzi wako hususani katika shida zake marafiki watakuwa kando yako leo.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Uko kwenye nafasi nzuri ya kupata msaada na mkopo ikiwa itashirikiana na rafiki yako mwenye umri mdogo utapokea mualiko wa sherehe nenda lakini usiende peke yako kile unachotaka kununua kinunue tu kitakusaidia hapo baadaye kwenye masuala ya mtoto.
•Utabakia kuwa mvumilivu katika mahusiano Epuka kutenda kwa hisia Usipuuze hisia za wapendwa wako.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Utatuhumiwa jambo kuhusiana na ugonjwa unashauriwa kukaa kimya maana kutazuka ubishi na kutoelewana Chunga vitu vyako kuna wizi utatokea.
•Taarifa muhimu zinaweza kupokelewa Familia yako itakusaidia katika maswala yako Fanya kazi kwa kushauriana na watu wako wa karibu.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Leo mambo yako yote yako vizuri utakuwa na furaha iliyopitiliza kule kutokuelewana na mwenzio kumeisha Penzi limerudi upya tegemea kupata habari za posa uchumba na ndoa Ile shughuli uliyoiomba utafanikiwa kuipata ikiwa utamshirikisha mwanamke.
•Utatimiza ahadi na kuongeza maelewano Uaminifu utadumishwa Mambo ya kihisia yatasawazishwa.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Jiepushe na matumizi ya vyombo vya moto vitakusababishia madhara mambo hayajakaa sawa kama utakuwa umelegea utasumbuka sana Huenda ukajikuta kwenye ugomvi mkubwa kazini au kwenye shughuli zako nyingine tumia nguvu.
•Furaha na faraja itaongezeka katika maisha yako ya ndoa Katika mahusiano kila kitu kipo sawa na utafurahia pia mahusiano yako ahadi za upendo zitakuwa nyingi sana siku ya leo.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA ☠️💀 MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.