Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 20/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI.
MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE.
★MAPACHA– GEMINI ♊ (May 21– Juni 20)
Leo jitahidi kutekeleza ahadi ulizowaahidi watu Jambo hili litakupa shida usipolifanyia kazi kiasi cha kuwapoteza marafiki zako Kama ikiwa ni vigumu kwako kutimiza ahadi basi waambie wasubiri lakini kamwe usighairi.
•Mahusiano yako yapo vizuri na ugumvi wowote uliopo upuuze usiufuatilie sana hauna umuhimu kwa sasa kwako.
★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22)
Leo shirikiana na mtu yoyote kwa sababu unaweza kupata maarifa ya kufanikisha shughuli zako muhimu ulizonazo kwa sasa hata hivyo kuwa macho wadanganyifu ni wengi na hawalali wakifikiri namna ya kukudhuru.
•Safari zako leo zina mashaka mashaka lakini utafika salama.
★SIMBA LEO 🦁 (Julai 23– Agosti 22)
Leo siyo siku nzuri sana kwako na usiwe au usitoe ahadi zozote hasa mchana huu tumia siku ya leo kufanya mambo yako mwenyewe yale yote ambayo unayaona ni ya muhimu jitahidi kujenga umoja wako na wa familia yako.
•Kazi zako zitaenda vizuri na biashara zako zitatanuka zaidi.
★MASHUKE– VIRGO ♍ (Agosti 23– September 23)
Inaonekana utajihisi kuwa na hasira na utakasirika hovyo bila ya kuchokozwa na mtu yoyote nyota zinakushauri jizuie kushiriki katika ubishani wowote.
•Utapata habari njema sana leo na mipango yako mingi itaenda vizuri.
★MIZANI– LIBRA ⚖️ (September 24– Oktoba 23)
Leo ni siku njema kwako fikiria kuhusu maisha yako weka pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana kwa sababu maisha yako ni muhimu sana kwako kuliko jambo lolote jingine linalokukabili.
•Utapishana kauli na mtu wako wa karibu na usilazimishe jambo lolote leo utapata fedheha.
★NG'E– SCORPION 🦂 (Oktoba 24– November 21)
Leo fanya kila njia usiwe mpweke kaa karibu na jamaa zako wape mawazo yako na waombe wakupe ushauri kutokana na changamoto zinazokukabili.
•Mahusiano yako yapo vizuri na utazidi kufanikiwa dhidi yake pia safari zako ni nzuri.
★MSHALE– SAGITTARIUS 🏹 (November 22– December 21)
Leo inaonekana Kuna mambo muhimu ya kwako na ya watu wengi ambayo unataka kuyafanya na yanahitaji pesa ambazo huna Hutaweza kuyatatua matatizo yako peke yako unahitaji msaada wa watu wengine.
•Mahusiano yako yatakuwa na kutokuelewana ila yote yanapita.
★MBUZI– CAPRICORN 🐐 (December 22– January 20)
Leo utakutana na rafiki ambaye atakuhitajia sana umsaidie katika jambo la faragha Usimnyime anachohitaji kwa sababu ameteseka sana kumbuka huko nyuma ushawahi kujikuta ukiwa katika hali kama yake.
•Safari zako sio nzuri utapoteza kitu muhimu ila utafika salama na kurudi salama.
★NDOO– AQUARIUS 🏺 (January 21– February 19)
Usijishughulishe na mambo ambayo watu wanayasema kwa sababu shida na matatizo waliyonayo hivi sasa ni kujitakiya wenyewe kama walivyojitumbukiza katika dhiki ni juu yao kujisaidia jambo la muhimu kwako ni kuwa muangalifu.
•Utapata bahati nzuri na habari nzuri nyingi zitakufikia leo.
★SAMAKI– PISCES 🐟 (February 20– March 20)
Leo kaa na mtu wako wa karibu na mzungumze kwa kina mambo yaliyo moyoni kwako ili ipatikane suluhu Kwa kutumia njia hii utapata majawabu kwa matatizo yanayokukabili.
•Kazi zako zitaenda vizuri na kwa wepesi mkubwa pia utanufaika kwa mengi.
★PUNDA– ARIES 🐏 (March 21– Aprili 20)
Leo una uwezo wa kufikia kileleni kwa jambo lolote unalotaka kulifanya na hutopata pingamizi zozote Ni siku nzuri ya kujumuika na watu na kuwasaidia watakaohitaji msaada wako Kumbuka ukifanya wema kwao ni kama unajifanyia mwenyewe.
•Mahusiano yako yatajaa neema na utulivu pia kuna kitu kizuri mno kitakutokea ndani yake.
★NG'OMBE– TAURUS 🐂 (Aprili 21– May 20)
Leo itakuwa siku ya bahati kwa sababu mipango yako itakwenda kama unavyotarajia siri kubwa ya wewe kupata na bahati hiyo ni kujikalia nyumbani na ikiwezekana kulala mapema na usijihangaishe.
•Safari zako ni nzuri tegemea kheri ndani yake.
★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa ushauri na mengineyo wasiliana na maalim niwatakie siku njema na mafanikio mema
MAALIM DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ MTABIRI WA NYOTA NA MTAALAM WA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA NYOTA ZENU.