Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

ungeeleza kuwa anazungumzia jinsi ya kuondoa umaskini kwa watanzania ningekusifu watu wake vijijini iramba wanalia njaa na elimu duni akawasaidie wapiga kura si malumbano kila moja anatoa mawazo yake kwa kutumia haki za kikatiba .na aondoe e umaskini ndani ya nchi yetu cdm iko vizuri sana waendelee kupambana sana je kupisha fedha za ulaji ni kutetea maslahi ya watanzania au nini?
 
Hoja za CDM zimeifanya CCM ipoteze mwelekeo, badala ya kufanya kazi za kibunge ndani ya mjengo wameamua kuhubiri siasa majitaka. Kutukana na kukashifu ndio kazi yao badala ya kuibana serikali iltekeleze maisha bora kwa kila Mtanzania. Prof. Lipumba kasema leo vigezo vya maendeleo kwa mujibu wa serikali ya CCM ni mtu kuishi kwa shs. 620/= kwa siku tena Dar. Tutaulizana 2015 na hasa kule Iramba kwa Mgulu ambako watu wanaishi kwa shs 250/= kwa mwezi.
 
sikuhizi maisha yamekuwa rahisi, kama mtu, unataka kutukana au kumtukana mtu, unaenda bungeni. kule ruksa :tape2:
 
Kikao cha Bunge la Bajeti kikiwa kinaendelea siyo siri tena, mbunge anazungumzwa sana nje ya bunge maeneo yote ya viunga vya bunge mjini Dodoma na mitaani, pia katika vyombo vya habari ni jina la MWIGULU, ni shupavu, mwerevu, jasiri aliye na weredi wa kupangua hoja za wapinzania pasipo kupepesa macho.

Mwigulu ni hazina ya CCM na taifa la Tanzania kwa ujumla na yuko tayari kutetea maslahi ya nchi pasipo kuangalia udini wala ukabila. Mwigulu amekuwa ni mwiba mkali wa wabunge wa upinzania ambao walizoea kutoa kejeli kwa CCM na serikali yake; JIBU limepatikana dawa ya CDM ndani ya BUNGE ni MWIGULU. Hoja zake zimekuwa ni kufungua kaburi la kuizika CDM! Hongera Mwigulu Usirudi nyuma, tunakupongeza, Unaandaliwa mapokezi makubwa kuanzia MANYONI hadi Iramba kutokana na hoja zako zilizogeuka mwiba kwa CHADEMA

Ni aibu,ujinga,upumbavu na wendawazimu kuandka kitu kama hiki ndani ya mtandao kama huu kwa kumsifia mtu mjinga,mpuuzi,fedhuri na kichaa kuwa yeye ni gumzo mjini kwa lipi?kuna tofauti gani kama huyo mwendawazim angevua nguo pale dodoma akatembea uchi saa nzima na kutoa lugha ziszo na staha mahara ambapo wanapaita patakatifu?ukimsifia kichaa hata na wewe akili zako zitakuwa na walakini.
 
Rais ajaye anamjua JK na ndiyo chaguo lake 2015 ; ndiyo maana anamsifu sana kwa kuchana bajeti ZZK bungeni
 
Back
Top Bottom