Nyota ya mizani.. Utabiri kuntu

Mbona tunahonga afu umaskini ndo unatamalaki au tunakosea wapi?
 
Asante kwa taarifa Mkuu,kiwango kitapanda kama ilikuwa 7800 inabidi angalau ifike 10000.
 
Twende kilingeni twende kilingeni..tunapata elfu moja, tunahonga mia nane, tunakula mia mbili, tunahonga pakubwa sisi tunakula padogo..

Hawa watakua wanamiliki mamall na maghorofa yote mjini.
 
Asante kwa taarifa Mkuu,kiwango kitapanda kama ilikuwa 7800 inabidi angalau ifike 10000.
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24][emoji24][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23]
 
Tangu nianze kumpa HELA ananipa mahaba motomoto

Mdau apa naona anafukuzia ghorofa
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…