Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,048
- 143,028
Nampenda sana huyu mdada kutoka Mvita.
Ni bonge la mwimbaji.
Wadau mnasemaje?
Ni bonge la mwimbaji.
Wadau mnasemaje?
Last edited by a moderator:
na mi nimempenda ila zaidi ya nyimbo zake....
Hata mimi napenda zaidi ya nyimbo zake.....
Amefanana kidogo na mbuta nanga, Ila sio kimatendo