Deal lake halijasaidia hivyo katelekezwa.hana shida, wala hrk. Ana wabunge wake 20 tyr kibindoni
toka kwa mkulu,
kwa kazi nzuri na utii aliouonesha kwa Mkulu ktk hrkt za kuua upinzani.
Nani huyu jamani na UTU ndo niniMgombea wa urais wa UTU, Mgombea urais wa Mama Tanzania akinena na mamia kwa maelfu wa Wanachama WALIOFURIKA kumsikiliza.
View attachment 1608614
Nani huyu jamani na UTU ndo nini
Hawa hawana matusi km mgombea wa chadema
mdharau mwiba ni mpumbavu, huyu ni mbora kuliko kilemaMgombea wa urais wa UTU, Mgombea urais wa Mama Tanzania akinena na mamia kwa maelfu wa Wanachama WALIOFURIKA kumsikiliza.
View attachment 1608614