Nyomi ya mgombea urais wa UTU usipime

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
Mgombea wa urais wa UTU, Mgombea urais wa Mama Tanzania akinena na mamia kwa maelfu wa Wanachama WALIOFURIKA kumsikiliza.

1603376177155.png
 
hana shida, wala hrk. Ana wabunge wake 20 tyr kibindoni
toka kwa mkulu,
kwa kazi nzuri na utii aliouonesha kwa Mkulu ktk hrkt za kuua upinzani.
 
hana shida, wala hrk. Ana wabunge wake 20 tyr kibindoni
toka kwa mkulu,
kwa kazi nzuri na utii aliouonesha kwa Mkulu ktk hrkt za kuua upinzani.
Deal lake halijasaidia hivyo katelekezwa.
 
Kuna account ya NCCR humu,sijawahi ona wakipost habari za mgombea wao wa urais,wanapost habari za mbatia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom