Nyomi ya Magufuli Mwanza ni BALAAAAA

Nyomi ya Magufuli Mwanza ni BALAAAAA

Kwedu Kwazu

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
504
Reaction score
71
attachment.php


attachment.php


Hii ni Mwanza, Moja hiyooooooooooo
 
Lowassa kajitahidi sana kwa kweli ila Ccm inamtandao Imara kuliko serikali. Hata ingetokea Jk akajaribu kugombea kupitia upinzan 2010 asingerudi Madarakani. Ccm bado inakula Legacy ya Mwl Nyerere kutengeneza chama Dola
 
Hao watu ni sawa na waliokuwa mbugani kwenye mkutano wa wenje...mbaya zaidi hao wa kufuli wameenda kwa kuahidiwa chakula na pombe
 
Number don"t liar
magufuli ndiye rais kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom