Nyomi la Usaili wa Nafasi 40 TRA

Nyomi la Usaili wa Nafasi 40 TRA

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Hawa ni watu 23,653 wanataka kufanya interview katika ukumbi wa diamond jubilee, ili kutafuta nafasi za ajira katika shirika la mapato Tanzania (TRA), wakati waliokuwa wanahitajika ni watu 40 tu.
12522994_151347661909161_2785700266446121773_n.jpg
 
all the best....My Brothers and sisters. Tatizo la ajira limekuwa kubwa zaidi.
 
Ni Hatari sana ngoja nizidi kung'ang'ania ajira yangu hii ya kilo na nusu kwa muhindi.
 
Hawa ni watu 23,653 wanataka kufanya interview katika ukumbi wa diamond jubilee, ili kutafuta nafasi za ajira katika shirika la mapato Tanzania (TRA), wakati waliokuwa wanahitajika ni watu 40 tu.View attachment 318663
Hawa ndio waliokuwa wanawacheka BAED vyuoni nakuwaona wenzao wamepotea njia..mtaisoma number nyumbu nyie hapo tayari hizo nafasi zote 40 zinawatu wake
 
Waliosoma education kumbe wana raha sana..
Yani baada ya kumaliza chuo tu ajira inakuja kiulainiiiii....
 
Hizo nafasi ni nyingi sana 40 huwezi jua kilichoandikwa mbele yako na si wote hao hawana ajira ila wengine wanataka kubadirisha kazi.
 
wageukie upande wa pili kwenye ujasiliamali.siyo kwakua umemaliza university ndyo uajiliwe
 
kwa kweli sasa hivi ukisoma kwa mawazo ya kuajiriwa itakula kwako vijana wengi sana wako benchi
 
Back
Top Bottom