Nyololo: Kabla na baada ya kuuawa Mwangosi

Nyololo: Kabla na baada ya kuuawa Mwangosi

Huyu jamaa mbona ametapakaa Damu? Huyu lazima anamjua aliyemuua Mwangosi au ndo aliyemuua. Angalia alivyojaa damu kwenye hiyo kofia na shingoni. Huyu inabidi atuambie hiyo damu iliyomtapakaa imetoka wapi?

I have the very same question. This photo should be printed in front pages, he must have seen every move till the blood splashed unto his mask and helmet.
 
je wewe uliwasikia polis wakisema lazima waondoke na maiti 4 au unaweka umbea wako tu hapa jukwaani?

Acha roho ya kishetani jangili wewe unapgwa 0712 nini?
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana

Maji ya shngo mtaisoma namba Hii T 2015 CDM Hata kmyakmya mabwege nyie na fikra za mwenykit
 
je wewe uliwasikia polis wakisema lazima waondoke na maiti 4 au unaweka umbea wako tu hapa jukwaani?
Mkuu si wewe ndiye uliyesema hayo au hukusema wanne? Ndio maana mtoa mada unamuona mmbea sema basi ulitaka kuua wangapi?....
 
Kama umeona picha za mwangosi alivyopigwa bomu at close range katikati ya polisi wanane, huwezi kushangaa kuwepo kwa majeruhi miongoni mwa polisi. Picha zinaonyesha polisi wakimbeba mwenzao baada ya bomu kumlipua mwangosi na kumbakiza nyama tu.
Kwa wasiojua utaalamu wa mabomu; aliyempiga bomu mwangosi alihakikisha anafanya hivyo kwa karibu ili vipande vipande vya vyuma vinavyokuwa katika bomu viishie kwenye nyama, visitawanyike.
Nakumbuka nikiwa jeshini tulifundishwa kuwa ukiona bomu halijalipuka na mko wengi kimbia ulilalie ili likuue peke yako; utakuwa umenusuru maisha ya wenzako wengi.
Mimi bado nashawishika kuwa hilo halikuwa bomu la machozi maana namna mwangosi alivyochanwa chanwa! Hilo siyo bomu la moshi wa machozi tu

Hapo kwenye RED, kwa hiyo huenda mwangosi alitumia hii technique ili lisiwadhuru maaskali polisi, kweli alikuwa mzalendo!!!!!!!!!
 
mimi nafikiri huu sio wakati wa kulaumiana ni bora tusubirie hiyo tume yao tuone awamu hii itakuja na jipya gani coz kila mara tume zinaundwa lakini hakuna cha ziada kinachoanyika
 
mimi nafikiri huu sio wakati wa kulaumiana ni bora tusubirie hiyo tume yao tuone awamu hii itakuja na jipya gani coz kila mara tume zinaundwa lakini hakuna cha ziada kinachoanyika

tusubiri wakati Nchimbi tayari ameisha toa majibu kwamba wenye makosa ni CDM?! Mtu mwenye heshma zake hata kama ni mwana magamba hawezi kubali uteuzi wa tume/kamati uchwara kama hizi!
 
Kama ni umbea basi wewe weka ukweli wa kile ulichokisikia hapo kijijini Nyololo.

CCM na serikali yake hawawezi kukwepa lawama juu ya mauaji yanayoendelea kutokea nchini kwa vitendo vya kuingilia DEMOKRASIA NCHINI kwenye shughuli za vyama vya siasa
 
Ila wana nyololo mmenishangaza sana. Yaani mkashindwa kuwapopoa hao polisi kisawasawa?
Siku mojainatakiwa waonyeshwe kilichomtoa kanga manyoya, wanazoea vibaya!
 
Back
Top Bottom