Nyololo: Kabla na baada ya kuuawa Mwangosi

Nyololo: Kabla na baada ya kuuawa Mwangosi

Humu ndani ndipo walipokuwa wanafanya kikao chao cha ndani kabla ya polisi kuanza kuwashambulia kwa mabomu ya machozi kama inavyoonekana pichani.

View attachment 64124
 
mipango dhalimu lazima huenda mrama....hii ndo serikali ya CCM
 
msema kweli ni mpenzi wa Mungu kilichotolewa hapa inawezekana ni ukweli maana ukiangalia kwenye move ya polisi utaona hakukuwa na watu wengi na mambobu yalikuwa yanarushwa kwenye nyumba ya mtu wala si kwenye uwanja
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana

View attachment 64125
Hii nayo ilikuwa ni siku hiyohiyo ya tarehe mbili september (huko Bububu Zenji katika uzinduzi wa kampeni ya chaguzi ndogo), ambapo huko Iringa polisi walianzisha tafrani walilopanga ili kuleta mauaji na kuichafua CDM.

View attachment 64126

Hapa ndipo kasheshe ya wanachama wa CDM kuanza kurushiwa mabomu wakati wakiwa wanaendelea kufanya kikao chao cha ndani. Awali viongozi wa CDM waliwatangazia wafuasi wao kuwa hawatafanya mkutano wa adhara, na wataendelea na kikao chao cha ndani kitakachohusisha wanachama wao. Cha ajabu kilikuwa na mamluki wengi ikiwamo polisi, baadaye polisi waliamuwa kuwatawanyisha kwa lazima kinyume cha sheria na kusababisha kifo na majeruhi kadhaa wakiwamo askari polisi.
 
Majeruhi upande wa polisi walipatikanaje?

Kama umeona picha za mwangosi alivyopigwa bomu at close range katikati ya polisi wanane, huwezi kushangaa kuwepo kwa majeruhi miongoni mwa polisi. Picha zinaonyesha polisi wakimbeba mwenzao baada ya bomu kumlipua mwangosi na kumbakiza nyama tu.
Kwa wasiojua utaalamu wa mabomu; aliyempiga bomu mwangosi alihakikisha anafanya hivyo kwa karibu ili vipande vipande vya vyuma vinavyokuwa katika bomu viishie kwenye nyama, visitawanyike.
Nakumbuka nikiwa jeshini tulifundishwa kuwa ukiona bomu halijalipuka na mko wengi kimbia ulilalie ili likuue peke yako; utakuwa umenusuru maisha ya wenzako wengi.
Mimi bado nashawishika kuwa hilo halikuwa bomu la machozi maana namna mwangosi alivyochanwa chanwa! Hilo siyo bomu la moshi wa machozi tu
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana

mimi nilikuwepo inawezekana wewe unasema kimeo kwa kuwa wewe ni bendera fuata upepo
 
Wanaochunguza wavuta bangi wasiishie kwenye soka tu..... Kuna dalili ya akili ya bangi kwa hawa polisi wetu! Siamini kama walitumwa wakamlipue Mwangosi, ni bangi zao tu!
 
je wewe uliwasikia polis wakisema lazima waondoke na maiti 4 au unaweka umbea wako tu hapa jukwaani?

siwezi kubishana na wewe unayefikiri unajua wakati hujui nikuulize swali zile picha zilipigwa wakati gani na nani kwa nini unabisha tu ili mradi ubishe kama wale wanaosema kitu kilirushwa wakati hakuna hata jiwe lililorushwa kwa taarifa yako nilikuwepo mwanzo mwisho.
 
shetani hawatupi waja wake wake, wakati wanatekereza mauaji wakajikuta shetani anawatamani hata wao

Nimeipenda hii, bahati mbaya nakutumia simu, pokea my 'like'.
Shetani kawapenda wao.
 
Imefahamika,tumewajua na tunawafanyia kazi mak*mayamam*zenu hamna hatimilki ya inji hii kitaeleweka tu.
 
View attachment 64102
117835291.jpg

Huyu jamaa mbona ametapakaa Damu? Huyu lazima anamjua aliyemuua Mwangosi au ndo aliyemuua. Angalia alivyojaa damu kwenye hiyo kofia na shingoni. Huyu inabidi atuambie hiyo damu iliyomtapakaa imetoka wapi?
 
Kama umeona picha za mwangosi alivyopigwa bomu at close range katikati ya polisi wanane, huwezi kushangaa kuwepo kwa majeruhi miongoni mwa polisi. Picha zinaonyesha polisi wakimbeba mwenzao baada ya bomu kumlipua mwangosi na kumbakiza nyama tu.
Kwa wasiojua utaalamu wa mabomu; aliyempiga bomu mwangosi alihakikisha anafanya hivyo kwa karibu ili vipande vipande vya vyuma vinavyokuwa katika bomu viishie kwenye nyama, visitawanyike.
Nakumbuka nikiwa jeshini tulifundishwa kuwa ukiona bomu halijalipuka na mko wengi kimbia ulilalie ili likuue peke yako; utakuwa umenusuru maisha ya wenzako wengi.
Mimi bado nashawishika kuwa hilo halikuwa bomu la machozi maana namna mwangosi alivyochanwa chanwa! Hilo siyo bomu la moshi wa machozi tu



Nawafuatilia wataalam tu...Malipyoto na wahemkaji,natupa kule!!
 
tatizo la polisi wa Tanzania wengi wao ni wahuni,neno maadili kwao ni msamiati
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana

....................kwa hiyo polisi. wana allergy na speaker na shamra shamra !!??? akili zingine bana, wangekuwa watu wanaazima..........!
 
Nkisumuno kweli wewe ni Kimeo na taahira hebu acha upumbavu wako hapa. Polisi waamue kuwa na maiti nne za nini. Hao jamaa walikuwa na kikao cha ndani kwenye kiofic kidogo wakati wao walikuwa kundi, hivi vikao vya ndani ni pamoja na speakers na shamra shamra? Acheni ujinga bwana

taratibu bana, unatutemea mate.
 
Back
Top Bottom