Nyoka wenye vichwa viwili

Ama kweli MALIMWENGU kuna mambo! Ss ataonekana mwenye vichwa saba na hapo ndipo andiko takatifu ktk hali ya Injili kama M2me Paulo alivyowaeleza Walimwengu ktk ukurasa wa UFUNUO WA YOHANA ya kwmb zile cku zikikaribia maajabu yataonekana mengi sana. NA HIYO YA VICHWA MBILI NI CHA MTOTO.
 
Hawa nyoka inaonekana kama wapo wengi wa aina hii, kwa binaadamu iliwahi kutokea kule BANGLADESH nakumbuka yule dada mwenye vichwa viwili Abby! ana akili sana alikuwa university sijui maisha yake kwa sasa! Mtafute youtube ABBY CONJOINED GIRL.
 
sumbawanga wapo wengi sana nyoka wa aina hiyo. Wengine wanaongea kabisa, wanaweza kukuita kwa jina lako.
 
Bujibuji tafadhari tena tafadhari sana! Wacha hadithi za kitoto hizo! Yaani unataka kutuhadithia hadithi za kitoto sisi watu wazima?
 
sumbawanga wapo wengi sana nyoka wa aina hiyo. Wengine wanaongea kabisa, wanaweza kukuita kwa jina lako.

Unaongelea Sumbawanga ipi? Hii hii ya Rukwa au ile ya China?
 
Hata Binadamu wapo wenye vichwa vinavyo share mwili mmoja.



 
Last edited by a moderator:
Toa tahadhari kwanza kabla ya kuingia huku mkuu maana tayari na mimi ushaniharibia siku.
 
kama ilivyo kwa binadamu wengine huzaliwa wakiwa wameungana hata wka viumbe vingine pia yapo hayo so nikushangaa maajabu ya MUNGU wetu mkuu ajuaye mengi kuliko uwezo wa binadamu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…