Nyoka wa ajabu

Black Mamba huyo. Ni agressive sana akichokozwa. Sumu yake mtu anakufa ndani ya masaa 7hadi15 asipopata tiba. Akiuuma sumu yake inaharibu mfumo wa upimuaji ndani ya nusu saa.
Koboko huyo,kifupi hawa watoto wana Mungu wao na anawapenda,
Huyo akikupiga full injection ya sumu yake masaa saba ni mengi mno,
Hesabu dakika tu dada
 
upo mji gani ndugu?
 
Black Mamba huyo. Ni agressive sana akichokozwa. Sumu yake mtu anakufa ndani ya masaa 7hadi15 asipopata tiba. Akiuuma sumu yake inaharibu mfumo wa upimuaji ndani ya nusu saa.
Sumu yake mtu anakufa ndani ya masaa 7 hadi 15,
Akikuuma sumu yake inaharibu mfumk wa upumuaji ndani ya nusu saa, kwahiyo mkuu huyo nyoka akishaaribu mfumo wa upumuaji ndani ya nusu saa naweza kukaa masaa sita na nusu mengine?
 
Atakuwa black mamba, mutakuwa na bahati sana, Mungu wenu kawasimamia mbele, either mtakuwa hamna dhambi mbele ya Mungu. Kuna siku tulikutana naye ana kwa ana bahati nzuri tulikuwa ndani ya gari vioo vimefungwa vyote, aligonga kioo cha mbele kila mtu anashuhudia maana tulipunguza mwendo. Kioo kilipata mpasuko utafikiri kimepigwa na jiwe. Alikuwa mweusi mdomoni utafikiri kaa jeusii tii.
 
Huyo ni nyoka flani anaitwa nyamwiru yeye hadonoi anarusha tu mate kwa umbali mrefu na anasimama kama kobra hapo ulipoona kanyanyuka kavimba alikuwa anakusanya mate na kuwacheki awatemee vipi.
 
mkuu kuna jamaaa mmoja arusha, alikuwa ananunua nyoka na kufuga kwa ajili ya biashara[yeye anauza sumu ya nyoka kenya], asee tumekamata sana nyoka enzii hizo watoto.....kuazia saa sita mchana jua kali ndo mda wanyokaa kuota jua.nyoka mwenye sumu ni ghali kuliko asie kuwa nayo so tulikua tunashinda kushika nyoka mwenye sumu, kama kifutu,swira,black mamba na wengine...nawapenda sana nyoka
 
Sumu yake mtu anakufa ndani ya masaa 7 hadi 15,
Akikuuma sumu yake inaharibu mfumk wa upumuaji ndani ya nusu saa, kwahiyo mkuu huyo nyoka akishaaribu mfumo wa upumuaji ndani ya nusu saa naweza kukaa masaa sita na nusu mengine?
Inategemea. Ila Venom yake ni hatari sana. Hapo ni kama hujapata huduma unakufa withins hours.
 
Mkuu shukuru Mungu mlikua mumekwisha
 
Mkuu kwa hiyo huyo black mamba(koboko)mlikuwa mnamshika kiwepesi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…