Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 307
Sikuwa na simu kubwa nilikuwa na nokia ya tochi nikashindwaulishindwa hata kupiga japo kapicha tuu mkuu!?
huyo ni black mamba,,,mukirudi mpike pilau,,mcheze kiduku..maana mmeponaSikuwa na simu kubwa nilikuwa na nokia ya tochi nikashindwa
huyo ni black mamba,,,mukirudi mpike pilau,,mcheze kiduku..maana mmepona
huyo ni black mamba,,,mukirudi mpike pilau,,mcheze kiduku..maana mmepona
Nyoka wa ajabu !
Nkajua anakata viuno ...
Kumbe ndo hicho
Ni nyoka wangu, mimi ndiyo huwa namfuga! View attachment 1125460
Mambo ya papuchi yanaingiaje hapaInaelekea ww unawaza papuchi pole sana
Mkuu anafanana na huyu ndio kabisaa
kumi na wawiliNi nyoka wangapi umewahi kuwatupia mawe na wakakimbia?
Hii story ni ya mkoani watu wa Dar subiri kwanza tujadili mambo yetu.
Hao ndugu zangu wana bahati kubwa sana, tungekuwa tunaweka turubai nyumbani kwao na huku JF tunahamasisha rambirambi.kumi na wawili
Asingeweza maana wakati hayo yanaendelea yeye aliingia JF kuposti huu uzi[emoji860][emoji860]ulishindwa hata kupiga japo kapicha tuu mkuu!?
Leo kwenye pitapita zangu mida ya asubuh nipo mtoto wa mjomba tunaelekea shambani ghafla mbele wakati tunatembea tukakutana na nyoka mkubwa mweusi yule mtoto wa mjomba angu alipomuona akamrushia jiwe lilikuwa karibu yake cha ajabu yule nyoka hakukimbia bali akawa anatoa mlio wa ajabu na anazidi kutuna yaani amesimama nusu ya mwili amenyanyuka zaid ya cobra yaani nusu ya mwili wake ameunyanyua huku anatuangalia na anatoa mlio kilichonishangaza nyoka gan anarushiwa jiwe hakimbii nikamuambia yule mtoto wa mjomba tusimame tumuangalie tusikimbie basi akatuna huku anatoa mlio mpaka akaanza kushuka taratibu mpaka chini halafu akaondoka zake kwenye majani na safar ya shamba ikaisha hapo sasa huyo anaweza akawa nyoka gani na mdomoni mweusi sijawah kuona nyoka huyo
The black mamba...Ni nyoka wangu, mimi ndiyo huwa namfuga! View attachment 1125460