Nyoka wa ajabu

Hahhahahaaaa Kasinde hujamuelewa Jimena na wengi hawatamuelewa
Muulize Jimena ni dini gani na kama anaamini katika Mungu mkuu kisha rudi usome tena alichoandika
 
 
Soma vizuri uzi kisha ndio uje kujibu
 
Rekebesha nahusiano yako na Mungu kwani kuna hali ovu imekuvaa ambayo inaondoa baraka zako,lile jema unaloliona nakulitaka sio jema ni uharibifu na hadi hapo utakapojitakasa ndipo utaona ikupasavyo utatambua jema na baya na kupata baraka unazozihitaji.
 
Hapo bado hujajibu maswali yangu mkuu,
Mi sihitaji mahusiano yoyote bali nilitaka kujua yale tu niliyouliza.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…