Nyoka wa ajabu

Usivute bhangi asubuh wakat wa kwenda kazin ikifika mchana na lile jua kali unaweza ota lolote lile. Jamaa mmoja ye aliota amegeuka kuku mtetea anataga mayai.

Pia umeuliza we ni nani.utakuwa nyoka tu. Unatabia ya kuwasema vibaya wenzio.upo kama nyoka unawagonga visiginoni. Huna utu ,huna ubinadamu.
 
1. Ilikuwa jumapili na sifanyi kazi jumamosi wala jumapili.
2. Sivuti bangi wala sigara.
Kuhusu kuwasema watu

Hiyo ndoto ina ujumbe ndani yake, thus why ulirudi mara ya pili kuwaangalia wale njiwa na kukuta bado ni Kunguru ikimaanishwa ujumbe wa hiyo ndoto utatimizwa kwa hakika na haraka, mwombe Mungu akupe tafsiri.
 
Kama unaweza mkuu nipe tafsiri yako wewe kwanza
 
Kuna vitu upo au soon utakua on progress unavitaka kwa kuona vitakusaidia (njiwa) na huvitafuti au hutovitafuta kiuhalali sana kivile (nyoka) , lakini sivyo hivo unavovidhania ,havibebeki (kunguru) vitakusumbua.
 
Umetumia lugha ngumu sana mkuu,
Nimekuelewa japo sio sana
 
Nani alikudanganya kuwa ukiota nyoka ni Adui??Nyoka si Hatari au adui wa mwanadamu nyoka ni rafiki mkubwa wa mwanadamu wazungu tu wametuchonganisha
 
Mashetani ya kijini yamekutawala kwa kiwango kikubwa ndugu yangu.
 
Nani alikudanganya kuwa ukiota nyoka ni Adui??Nyoka si Hatari au adui wa mwanadamu nyoka ni rafiki mkubwa wa mwanadamu wazungu tu wametuchonganishaView attachment 371634View attachment 371635View attachment 371636View attachment 371637
Mi kusema kweli ndo nimesikia wadau wakisema kwenye uzi huu huu kuwa nyoka ni adui, ila mi najua nyoka kama ilivyo kwa wadudu na wanyama wengine hana tatizo na hawezi kukugonga mpaka umchokoze sasa sijui kwa undani kuhusu huo uadui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…