kwenye hiyo picha ya kwanza assume ni mwanamke anatoka jela ana ugwadu halafu ndo anaona kama ambavyo hiyo picha inavyoonekana akiruhusu macho yake yakague sana kwa kweli atajichafua.hiyo picha haifai kuangaliwa na wakina dada wenye mawazo yanayosafiri haraka.View attachment 62759Wanasayansi nchini Brazil wamegundua aina ya nyoka vipofu wenye umbo kama uume wa binadamu.
Nyoka hawa wa ajabu aina ya ‘atretochoana eiselti' walipatikana kwenye bwawa la kuzalisha umeme ambapo wakandarasi walikuwa wakifanya ukarabati kwenye misitu ya Amazon.
Wana baiolojia waliwapata nyoka hawa wenye umbo la ajabu sita wenye urefu wa mita moja chini ya mto Madeira huko Rondonia, Brazil.
Hebu subiri niangalie kwanza wa kwangu ndii nilinganishe na huyo nyoka