Nyoka ni kielelezo cha tiba na pesa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyoka ni kielelezo cha tiba na pesa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Annina, Nov 23, 2009.

 1. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naomba nikiri katika viumbe ninavyoviogopa, nyoka anashika nafasi ya kwanza. Unaweza usiamini hata kuandika jina lake imenigharimu sehemu kubwa ya ujasiri wangu - naogopa hata picha yake!

  Pamoja na ukweli huo, nimeshuhudia picha ya nyoka ikitumika kama kielelezo katika sekta ya afya na fedha. Kwa mfano nembo ya hospitali ya taifa Muhimbili ina picha ya nyoka aliyejizungusha kwenye fimbo, kwenye noti ya sh 500 pia kuna picha ya nyoka again akiwa amejizungusha kwenye fimbo.

  Ikumbukwe kuwa si muda mrefu sana toka picha za wanyama zianze kutumika kwenye noti zetu badala ya picha za viongozi kama ilivyokuwa awali, nyoka alianza kutumika kabla ya mabadiliko haya. Cha kushangaza watu wa maliasili kwenye matangazo yao ya vivutio vyetu sijawahi kuona wakitangaza nyoka kama kivutio kama twiga, tembo, simba nk wanavyotangazwa.

  Sasa nimekuwa nikijiuliza nyoka ana uhusiano gani na tiba na fedha kwa taifa letu kiasi cha kutumika kama kielelezo?
   
 2. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2009
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Swali zuri. Mimi jina langu ni Nzokanhyilu, yaani Nyoka Mjinga. Nitauliza wazazi kwanini wameniita hivyo na kwanini niwe mjinga.
   
 3. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nyoka ni mnyama mwerevu katika historia ya Biblia. Anaweza kufananishwa na mambo mema au hata ya kishetani
  Soma biblia, sikumbuki exactly, ila nadhani itakuwa MWANZO, Mungu alimuagiza Musa atengeneze NYOKA wa bandia na mtu yeyote aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi(kwa wakati huo) aliambiwa amuangalie(au amsujudie) yule nyoka na maradhi (ugonjwa) uliokuwa ukimsumbua uliweza kutokomea(kuponya). Basi ukija kwenye sayansi, yaani Medicine au Pharmacy, lazima utaona nyoka katika emblem za hizo proffesions

  Kuhusu hela(fweza) si unajua nyoka ni shetani? alimdanganya Eva akala tunda pale bustani ya edeni enzi hizo.. na siunajua pesa(hela) asili yake ni shetani(japo sina uhakika sana, lakini Yesu alikanwa na mtume wake kwa sababu ya hela) Kwa hiyo, nyoka amewekwa kwenye hela kuashiria kwamba hela zinauhasili wa kishetanishetani. Pia kuana mambo mengi mabaya watuwanaweza kufanya kwaajili ya hela, kama kuuwa(ALBINO wanauwawa kwa sababu ya hela),kuzini,kuiba,kusema uongo,kutamani mali(eg MAFISADI), n.k, yaani hela inaenda kinyume na amri zote za Mungu.

  Kwa hiyo picha ya nyoka imewekwa pale ili wakati wowote utakapoishika hiyo noti,angalau ukumbuke hela ni shetani, na inaweza kukushawishi ukafanya kitu chochote kibaya!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,979
  Trophy Points: 280
  Musa alimwinua nyoka wa shaba kule jangwani nao wana wa lsrael wakaponywa
   
 5. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nenda kwa Yahaya Hussein atakupa jibu zuri.Lakini Nyoka ni kieelelezo cha kuabudu mashetani ndio maana hata katika mabunge mengi ya ulaya utakuta yametandikwa na alama ya nyoka
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Hivi bado mnamwamini huyo Mpiga Faraki Yahya Hussein?

  Yule hana jipya zaidi ya kusoma alama za Nyakati, na kutumia ujanjaujanja tu!

  Alama ya nyoka ni kama ilivyoelezwa na wachangiaji wengi hapo juu!

  Inaporumika mahospitalini ni alama ya kupona kama ambavyo Musa alivyoagizwa kufanya kule jangwani!

  Kuhusu kwenye noti, labda pia inafananishwa na maana ya kupona ya kwenye Safari ya Musa pia!
  I dont see any Witches on this thang!
   
 7. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,190
  Likes Received: 996
  Trophy Points: 280
  Kama vile Musa alivyomwinua nyoka wa shaba jangwani vivyo hivyo mwana wa Adamu atainuliwa ili kila amtazamae apate kuwa na uzima wa milele. Nyoka ndie mnyama shetani aliyepitia kuweza kuleta kila taabu unayoweza kuiona kwa binadamu hata sasa. Ktk kitabu cha walawi shaba ndio iliyotumika kwenye madhabahu ambapo dhabihu zilichinjwa kama kibadala cha kuihukumu dhambi. Hivyo nyoka ya shaba ilitumika kama ishara ya dhambi iliyokwisha hukumiwa. Hivyo ishara hii ktk science ya tiba ni alama ya hukumu kwa magonja. Mwana wa Adamu alizihukumu dhambi ambozo ndizo kisababishi cha kila magonjwa(mtesi) ktk mwili wake juu ya msalaba wa kalvari ndiposa ukimtizama yeye nakumwekea tumaini dhambi zako zote zitakuwa zimehukumiwa. Uliwahi kujiuliza kuna tofauti gani kati ya joka(sepent) na nyoka(snake)?. Nyoka mnyama sii kitu cha kuhofisha kwani ni kitoweo kwa baazi ya jamii mfano wa Wachina
   
 8. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wande/Kiby
  Asanteni kwa kuchangia, nimejifunza. Lakini naona majibu yenu yamejielekeza upande wa imani zaidi, na kwa kuwa sote tunatambua kuwa serikali yetu haijihusishi na masuala ya imani iwe ya Mungu au uchawi... ni kwa vipi taasisi za umma kama muhimbili na benki kuu zitumie alama ya nyoka based on imani?
   
 9. Companero

  Companero Platinum Member

  #9
  Nov 24, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ndugu historia ya asili ya nembo hiyo ni nzito. Inahusianishwa na Jumuiya ya siri. Nitatafuta kabrasha linalohusu nembo hizi na nembo zingine za Jumuiya za siri.
   
 10. Companero

  Companero Platinum Member

  #10
  Nov 24, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sisi tumeiga tu kama kawaida yetu. Rejea nembo ya WHO. Nembo za Jumuiya za Siri zina nguvu. Toka zamani wametupumbuza tutumie nembo zao.
   
 11. Companero

  Companero Platinum Member

  #11
  Nov 24, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  PACTA SUNT SERVANDA ndio nini? Na wewe ni mmojawao nini? Wanapenda Vilatini na Vigiriki!
   
 12. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sisi ni wanachama wa hiyo Jumuiya ya siri? Pls avail the said kabrasha litakalotupa mwanga. Wabeja sana, Ubarikiwe.
   
 13. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  .smile. Siwezi kuwa mmoja wao maana hata hiyo Jumuiya siifahamu, nasubiri kabrasha nijue inahusu nini.

  Pacta Sunt Servanda kwa kifupi ni good faith. Inatumika sana kwenye sheria za kimataifa kwamba nchi inapoingia mkataba (treaty) wa kimataifa inatakiwa kutekeleza majukumu yake - principle hii ndio inafanya nchi ziingie mikataba kwani zinaamini wanachama wengine wata act in good faith na watatekeleza majukumu yao kulingana na makubaliano.
   
 14. Companero

  Companero Platinum Member

  #14
  Nov 25, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Aisee hilo kabrasha la Freemasonry ni hardcopy ya zamani iko ndani ndani kwenye mashelfu. Nimejaribu kukumbuka ilikuwa na ujumbe gani ili nitafute taarifa zinazoendana na ujumbe huo kwenye mtandao. Mpaka sasa nimepata hii:

  The Rod of Asclepius (also known as Asklepios or Aesculapius) is an ancient Greek symbol associated with astrology and healing the sick with medicine. It consists of a serpent entwined around a staff. Asclepius, the son of Apollo, was practitioner of medicine in ancient Greek mythology. He was instructed in medicine by the centaur Chiron also connected to the constellation Ophiuchus.

  ...

  The Rod of Asclepius symbolizes the healing arts by combining the serpent, which in shedding its skin is a symbol of rebirth and fertility, with the staff, a symbol of authority, befitting the god of Medicine. The snake wrapped around the staff is widely claimed to be a species of rat snake, Elaphe longissima, also known as the Aesculapian (Asclepian) snake. It is native to southeastern Europe, Asia Minor, and some central European spa regions, apparently brought there by Romans for their healing properties

  ...


  A number of organisations use the rod of Asceplius as their logo, or part of their logo. These include:
  Source: http://www.statemaster.com/encyclopedia/Rod-of-Asclepius
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Nov 25, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Naam hili kabrasha ndio linafanana kiasi ni hiyo hardcopy - cheki source upate rejea:

  ANCIENT SYMBOLS IN MODERN MEDICINE: BUT WHY?

  Does the ancient symbolism employed by the institutions that control modern medicine reflect the influence of secret societies such as the Freemasons? In order to fully understand the esoteric significance of modern medical symbolism, such as the cross, or Ankh, or the serpents and staff of Moses, or the winged staff of Hermes, it is helpful to begin by understanding that all doctors swear to pagan gods.

  The Hippocratic Oath, which is sworn by all doctors, begins with the invocation: "I swear by Apollo the Physician. By Aesculapius, Hygela and Panacea, and I take to witness all the gods and goddesses..."[1] Dr Robert Orr showed in 1993 that 100% of American medical schools administer some form of the Hippocratic Oath to graduates.[2]

  Dr James Appleyard, Chairman of the World Medical Association's medical ethics committee, supports the modern use of the ancient Hippocratic oath as "the continuation of a statement of fundamental ethical principles that could be affirmed at graduation by doctors worldwide".[3]

  The World Medical Association's logo[4] features a serpent wrapped around a staff, the symbol of the ancient Greek god Asklepios. Aesculapius, worshipped by the Greeks as the god of healing, who originated in ancient Egypt as Imhotep, high-priest, sage and minister to the pharaoh, Zoser. It is significant that this symbol is reminiscent of the Staff of Moses.[5] The World Health Organisation's logo[6] also contains the ancient religious symbol of the serpent and staff, which is superimposed over the United Nations emblem.

  In fact, the medical establishment is steeped in ancient religious symbolism. The British Columbia Medical Association coat of arms[7] includes the Rod of Aesculapius, a golden griffin where the substance represents alchemy, a medieval knight's helmet, and an ancient Egyptian Ankh (Crux Ansata or Handled Cross). The Insider approves of their official motto: "Always seek the truth." Paramedics also use the symbol of staff and serpent in the internationally recognised paramedic symbol[8], also called The Star of Life[9]. The resemblence between this sign and the early Christian symbol of the Pax Christi (Chi-Rho)[10], a cross-like monogram for Christ in ancient Greek, may be significant.

  The Wellcome Trust, a major medical charity, employs the winged staff and snakes of Hermes[11] as their official logo, and for no apparent reason there is a huge image of the ancient Egyptian religious symbols of the Udjat eye of Horus and the Winged Disc of Ra, etched into the glass above their entrance opposite Euston train station in the West End of London. The winged sun disc is an ancient symbol for the sun god, Ra. Well known examples of the winged solar disc symbol can be found in ancient Egyptian temples, for instance over the entrance to the Solar Temple of Amen-Ra at Karnak, or or over the Temple doorway in Medinet Habu on the West bank of Luxor.

  The Royal Society of Medicine coat of arms[12] features the serpent of Moses on a Tau cross, and flowers which resemble the stylised Lotus frequently depicted in ancient Egyptian art. In this discussion about secret societies and the modern of ancient symbols it is pertinent that The Royal Society - the foremost scientific institution in the U.K., was founded by a prominent Freemason, Sir Robert Moray.[13]

  John Robinson explains in his popular book on Freemasonry: "When Freemasonry came public in 1717 ... it appeared that the Royal Society was virtually a Masonic subsidiary, with almost every member and every founding member of the Royal Society a Freemason."[14] An article in the leading Masonic magazine, Freemasonry Today, echoes this and mentions that "many masons were also members of the Royal Society".[15] The Royal Society remains associated with British Freemasonry today.

  The Red Cross was first associated with human welfare and medical help during the medieval crusades, when European Knights travelled overseas to help pilgrims and foreigners alike, such as the Knights of St John[16], the Knights Hospitaller, and the Knights Templar[17] which was the first organisation to officially adopt the red cross symbol.

  The Knights Templar[18] has been operating in secret for centuries, and traditions and inner mysteries are connected with those of the secret society of Freemasonry[19].

  REFERENCES
  1. The Hippocratic Oath, from the Junior Doctors Association website.
  2. Orr RD, Pang N, Pellegrino, EJ, Siegler M., 1997. Use of the Hippocratic Oath: A review of 20th century practice and a content analysis of oaths administered in medical schools in the U.S. and Canada in 1993. Journal of Clinical Ethics, 8(4):377-388.
  3. World Medical Association website, press center, statement of support for the Hippocratic Oath.
  4. World Medical Association's official logo.5. Exodus (2 Moses) 4:2-3, & Numbers (4 Moses) 21:8-9, Christian Bible or Jewish Torah.6.
  World Health Organisation, official website
  7. British Columbia Medical Association's coat of arms on their official website.
  8. Paramedic symbol from a major paramedics website.
  9. History of The Star of Light, North Virginia Emergency Medical Services Council website.10. Examples of Christian religious symbolism, Gospel Facts website.
  11. Irish Emergency Ambulance Service website, see Ambulance History page for information about ancient religious symbols used in modern medicine, such as the Rod of Asclepius and the Caduceus.
  12. Royal Society of Medicine coat of arms, featured and explained on their official website.
  13. Lecture on The Royal Society, by the author and Freemason Robert Lomas, on his official website.
  14. J. J. Robinson, 1990. [ame="http://www.amazon.com/exec/obidos/ASIN/0871316021/cbjoe-20"]Born in Blood: The Lost Secrets of Freemasonry.[/ame] New York, USA: M Evans & Co.
  15. An article from the official Masonic magazine, Freemasonry today, posted on their website.
  16. The History of First Aid, on an official St. John's Ambulance website.
  17. Knights Templar History website.
  18. An official Knights Templar website.
  19. Knights Templar page on the official Indiana Masons website.

  NOTES & FURTHER READING1. J.S.M. Ward , 1940. [ame="http://www.amazon.com/exec/obidos/ASIN/1564591336/cbjoe-20"]Freemasonry and the Ancient Gods[/ame]. Montana, USA: [ame="http://www.kessinger-publishing.com/"]R A Kessinger Publishing Co[/ame].

  *** HIGHLY RECOMMENDED *** One of the most revealing publicly available sources about the Craft, since the 1940s this has been the benchmark reference textbook for research into the relationship between Freemasonry and religion.

  Source: http://www.theinsider.org/reports/medical-symbols/
   
 16. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Companero,
  Bravo! Nashukuru kwa kabrasha na maelezo mazuri. Seems like kuna mengi yanaendelea hatujui undani wake tunafuata tu! Ngoja niende kwa hizi link then tujadili.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  acha kumsikiliza shehe yahya.
   
 18. Annina

  Annina JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Anatumia nembo hiyo pia? nadhani sio peke yake waganga wengi wa jadi wanatumia. What is so special with him?
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  maelezo yako
  niliwahi kuyasikia kwake
  kupitia kipindi chake cha channel ten.
   
 20. Companero

  Companero Platinum Member

  #20
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,474
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nothing personal indeed!
   
Loading...