Nyoka na mwanae!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
{Mtoto wa nyoka}~Hivi mama sisi ni aina ya nyoka wenye sumu au hatuna?. {Mama nyoka}~Kwanini unaniuliza hivyo mwanangu?. {Mtoto wa nyoka}~Nimejing'ata ulimi wangu.
 
mbona cjaelewa au hujamalizia. aaaaaaaaaaaaaaah kumbe ume copy na ku paste.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom