View attachment 86199
Kuja hapa!
Ni mze lakini nyege iko pale pale. We angalia hapa Tanzania na huko maduniani ni wazee ndiyo wanaongoza kubaka na kutongoza wasichana. Mfano ulio hai, angalia kina Lundenga na kamati yake ya umiss, ama wabunge jinsi wanavyolazimisha kutoka na visichana vidogo (spring chicken) na kuwapa magonjwa ya hajabu kisa laki moja au simu ya bei kubwa.
Au yule katibu mkuu wa chama kimoja cha upinzani.
Au yule katibu mkuu wa chama kimoja cha upinzani.
Au yule katibu mkuu wa chama kimoja cha upinzani.
kazee katakuwa kameshatafuna viagra tena ya wnyama.kakikubali tuu lazima kakapumulie mashine icu
View attachment 86199
Kuja hapa!