Nyoka mkubwa kaingia ndani kwangu halafu kajificha

ni kweli, lakini sikuona mantiki ya kusema una nyoka nyumbani ufanyenye kwenye mtandao, unless hujawahi kuishi tanzania.... hivi kweli kwenye emergency kama ya nyoka unaanza kuingia mtandaoni kurusha sredi???

we have to be realistic dude.... mimi nadhani nimekupa ushauri mzuri sana, huna majirani??? JF jaiwezi kumtoa huyo nyoka nyumbani kwako

kama ungekua sirias basi ungesema hata nyumba ikoje, some kind of insight ili watu wakuambie bana kulia, pulizia this on that wall etc

Lakini wamempa ushauri na hatimae nyoka ametoka na sasa amepumua . JF NI ZAIDI YA DARASA kwa kweli !!!
 
Thanks
 
Mkuu hapo kwenye red!! Kuna nyoka ambao wao ni washambuliaji si mpaka umpige au umkanyage. Mfano mzuri kabisa ni black mamba (jina la kiswahili limenitoka) yeye huwa akikuona anakushambulia tu na ana uwezo wa kushambulia adui mia moja na kuwaua kwa wakati mmoja. It is the most poisonous snake ever.

huyo anaitwa KOBOKO ni balaha sana kwa viumbe hai.
 
Lakini wamempa ushauri na hatimae nyoka ametoka na sasa amepumua . JF NI ZAIDI YA DARASA kwa kweli !!!

na mie nilimuuliza hana jirani??? manake hao ndio wanaosaidia kushika fimbo, kumwaga mafuta ya taa na hata kukaba defence ili kuua nyoka

ni kweli JF ni zaidi ya darasa, lakini hakuna darasa wakati wa emergency duniani
 
Wadau mwenye kujua namna navyoweza kumtoa maana sielewi kaingia lini na kajificha wapi maana nimemwaga mafuta ya taa nyumba nzima pia nikachoma mpira na nimemuona leo asubuhi hata kazini nimeshindwa kwenda kbs watu wote tupo nje mpk ss hv!mwenye kujua ni namna gani naweza kumpata na kumtoa maana cjui kama yupo mwenyewe au kuna wenzake humo plz jamani mawazo yanahitajika ni kimara huku,na tukishindwa kumpata tutashindwa kulala ndani wadau leo!

UPDATES
Katika hatua za kumtafuta nyoka hayawi hayawi mwisho wake kapatikana aisee ni mkubwa sana alikuwa kajificha nyuma ya friji upande unaotoka joto imenishangaza sana lakini pamoja na kumpata bado tunaendelea kupanga mambo hapa ilikuweka mambo vizuri isija ikatokea akapatikana wakati mwingine!

Nawashukuru sana kwa msaada wenu mafuta ya taa yamesaidia sana na kuchoma mapira ndani thanks sana kwa msaada wenu

Pole sana kwa mkasa uliokumbana nao; umeonyesha ni jinsi gani unatambua na unaheshimu ushauri ndiyo maana umeshirikisha wadau na hatimaye ukafanikiwa kumtoa huyo shetani.
 
ni swila kizungu wanamuita cobra , ittakuwa ameingia siku nyingi na amesha wazoea kama vile mbwa anavyoizoea familia , hutoka na kurejea muda autakao na kama mngali mtafuta kwa utaratibu bila kuchoma vitu mngeli shangaa maana hapo alipo asingerikimbia kwa kuwa amewazoea , tatizo ni sisi hatuwazowei kiurahisi wao la pili hakikisha ndani mwako hakuna panya na usafi wa kina kwenye mazingira yanayo zunguka nyumba ni muhimu
wabeja sana !
 
Ukishindwa kumtoa waite Fire and Rescue waje wamtoe, ndiyo kazi zao hizo. Ulaya wazungu wanaita fire and rescue kisa paka kanasa kwenye mtego iwe wewe ambaye kuna nyoka anayetishia maisha ya familia yako?

Duh! Acha hizo. Inaitwa Animal Rescue,inaweza ikawa wild or domesticated animals. Acha urongo wewe.
 
Asante sana mkuu. Kwani mmemwachia bure bure tu au mmemfikisha kunako? Nakumbuka nilitembelea maonesho sabasaba nikabahatika kutembelea banda la mali asili na moja ya viumbe hai nilivyojionea ni aina za nyoka na degree ya sumu ambapo black mamba na cobra ndo walisemekana wana sumu kali but black mamba kiboko yao. Katika maelezo yule ofisa wa mali asili alinieleza kuwa ukimwona nyoka kama una uwezo ni kumuua kwa tahadhari maana nyoka ni hatari na kwa kuwa si rahisi kufahamu mwenye sumu kali au la suluhisho ni kummaliza bila kusubiri.

Nimejaribu kupitia post zote nikitafuta mtu aliyepost kitu kama hiki...Nadhani kitaalam hawa jamaa wa mali Asili hii ni moja ya kazi yao wanatakiwa kuwa na number za emergency ukitokewa na jambo kama hili wawajibige kuja kumkamata nyoka na wala sio kumuuwa wanapaswa kwenda kumuachia mahala salama akaendelee na maisha yake..Sema kibongo bongo njiwa asiye kuwa na meno wala hana tabu na mtu anapigwa mawe sembusu nyoka mwenye sumu.
 
Solution hamia kwetu Kariakoo, hakuna nyoka wala nini!

Dawa kubwa ni hiyo mafuta sasa mtafute mganga wa kienyeji labda anaweza kukusaidia kumtoa kwa tunguri maana hatari sana hiyo

Unasema hakuna nyoka wala nini ni nini sasa hiyo nini mbona Tandu,panya na paka wanga kibao pale kwa dakta maro swhl na narungombe tunauwa tandu kila kesho
 
Aise pole. Huyu ni lazima ana sumu.. Hebu wenye kujua aina za nyoka na sumu zake watuambie. Wasukuma na wanyamwezi mpo?

Nawajua vizuri sana nyoka. Ila huyu katika picha kama ndiye aliyekutia jamba jamba. Atakuwa nyoka wa kichawi huyu. Hali mkuu tueleze unaishi mitaa gani? Maana kuingiliwa na joka kama hili, ni utata mtupu.
 
Kiongozi mazingira nayi ishi kuna miti mingi majani mengi sana ila yako mbali na nyumba so kunauwezekano hawa jamaa wakawepo maeneo hayo!hatari sana aisee!
 
ni kweli, lakini sikuona mantiki ya kusema una nyoka nyumbani ufanyenye kwenye mtandao, unless hujawahi kuishi tanzania.... Hivi kweli kwenye emergency kama ya nyoka unaanza kuingia mtandaoni kurusha sredi???

We have to be realistic dude.... Mimi nadhani nimekupa ushauri mzuri sana, huna majirani??? jf jaiwezi kumtoa huyo nyoka nyumbani kwako

kama ungekua sirias basi ungesema hata nyumba ikoje, some kind of insight ili watu wakuambie bana kulia, pulizia this on that wall etc

pumba 100000000000%
 
Kiongozi mazingira nayi ishi kuna miti mingi majani mengi sana ila yako mbali na nyumba so kunauwezekano hawa jamaa wakawepo maeneo hayo!hatari sana aisee!

Embu nambie maana mie nimejifunza mengi ktk thread hii. Nimesoma ila sijaona hivi ilikuwa ni bahati ukajua kaingia au mtu alimuona naingia ndani?

Nimekaa nafikiria kuwa ni vizuri mtu kuwa na ile milango miepesi ya nyavu angalau iingize hewa ndani na kuzuia matukio haya, mie kwetu milango ni wazi mwaaa, na imagine nini kitakuwa kimeingia ndani na siishi karibu na majani/miti mingi kama. Ulizyosema.
 
Pole mzee sasa ni hv... Kwanza unatema mate ili yeye asikutemee, afu unachukua kanga, kitenge au taulo unaviringisha kama kata ili asiweze kukimbia abaki pale pale alipo! Ndipo umtafte! Ukshndwa N-pm nije nimkome Nyani.

haka kajamaa,nahisi kaganga ka kienyeji haka...Daa kataalamu kweli.
 
Embu nambie maana mie nimejifunza mengi ktk thread hii. Nimesoma ila sijaona hivi ilikuwa ni bahati ukajua kaingia au mtu alimuona naingia ndani?

Nimekaa nafikiria kuwa ni vizuri mtu kuwa na ile milango miepesi ya nyavu angalau iingize hewa ndani na kuzuia matukio haya, mie kwetu milango ni wazi mwaaa, na imagine nini kitakuwa kimeingia ndani na siishi karibu na majani/miti mingi kama. Ulizyosema.

Kaka me ndo niliyemuona nimeamka nikaenda toilet wakati natoka ndo nikapambana nae kasimama kwenye mlando wa chooni akanyanyuka kama anataka kuniuma nikakwepesha mguu nikawahi sebuleni nibebe walau kitu cha kumpigia ss niliporudi kuangalia pale kwenye mlango wa bafuni nikamkosa si ndo hapo purukushani ilipoanzia kaelekea wapi hatujui ikawa ni kuamshana tu ss ndani ili tuanze zoezi la kumtafuta!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom