Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Haaaha ha ha ha...kumbe janja ya bureee !! viduchu tu ndo waviweza....!! Kaza roho na kukamae kuvifagilia hukoo ..Yaani chumbani ukiwa alone na hammadi ! vikatokea siutafazaaika moyo wakowee !! Pole ukhti.Mende mduchu simuogopi, Yule mwenye sharubu2 simgusi, panya mduchu simuogopi namuogopa Yule panya buku.. Nyoka ndio awe mduchu awe mkubwa namuogopa ...
Haaaha ha ha ha...kumbe janja ya bureee !! viduchu tu ndo waviweza....!! Kaza roho na kukamae kuvifagilia hukoo ..Yaani chumbani ukiwa alone na hammadi ! vikatokea siutafazaaika moyo wakowee !! Pole ukhti.
mrskhoory, Jina na avrtar yako imenifazaa na kuniogopesha kuliko NYOKA mwenyewe!! Waooow!! Khoory ni Lebanese name? sahh au Laa ?Mwenzangu weee!! Mungu aninusuru manake mtihani utakua si mdogo ...
Wakati huo unapiga u-turn atakua anakusubiria tu au siyo?
unamuwahi kabla hajakuwahi
mrskhoory, Jina na avrtar yako imenifazaa na kuniogopesha kuliko NYOKA mwenyewe!! Waooow!! Khoory ni Lebanese name? sahh au Laa ?
Kumbe ni stori za uongo eti imetokea Rukwa.....!!!Ni viongo haijatokea Rukwa mbona hii picha nilishawahi kuipost siku za nyuma hapa jamvini na niliitoa kwenye mitandao flani ya nje
Hawezi kuwa koboko amabaye ni slender na swift.Koboko huyo!!!! Tunao wengi sana huku kwetu Katavi. Bora ukutane na simba Ila si huyo jamaa.
Ukimtaja nyoka tu, Huyoo chini yako!! hebu chungulia mvunguni ! Kwani Lebanon si Arabuni? Khoor ni Mwamba wa bahari..!so wewe ni MWAMBA (vipi Mwamba aogope ukindo)?akaah bwana weye unaweza kumuua mtu ivoo, wallah namuogopa mwili wote unanisisimkaa , umetumwaa eeh? Khoory ni family name ya nchi za Arabuni...
Ukimtaja nyoka tu, Huyoo chini yako!! hebu chungulia mvunguni ! Kwani Lebanon si Arabuni? Khoor ni Mwamba wa bahari..!so wewe ni MWAMBA (vipi Mwamba aogope ukindo)?
Meshalla, Sasa hutishiki Lakini lijinyoka limekutia khofu !!Hivyo sitishiki, namanishaa Khoory yangu mie ni wale Khoory wa U.A.E .. Sio wa Lebanon ....
Meshalla, Sasa hutishiki Lakini lijinyoka limekutia khofu !!
Huko L khaleej ndiyo kwenye bahari zenye khoor (miamba) nyingi, hivo sijakosea ! ahL 3ajman,Fujeirah,Um-lquin,RasLkhayma, au Budhabi? usijekuwa damu yetu moja.!
Koboko huyo!!!! Tunao wengi sana huku kwetu Katavi. Bora ukutane na simba Ila si huyo jamaa.
Aaah.. L 3ain ibkii wa Dumu3 Yesir !! (jicho haliishi kulia na machozi yatiririka kwa hof ya nyoka) !! Wallah Al Ain Mummtaz !! Aisayee kuna Jabal haifit..... juu kweli !Al Ain....