Kobogo (black mamba) sio huyo. Huyu ni Chatu (Pythpn) Huyu hana sumu na chakula chake hukipata kwa kuvizia na kukunja kwa nguvu na kukaba. Hukaa sana kwenye milima na maljini. Akiwa majini hukimbia kwa kasi zaidi na kufanya mawindo kuwa rahisi.