Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,552
maringo tu yale, nishaona kinyonga anakwenda mbio kuliko mjusi maeneo ya urambo tabora, kipindi cha kiangazi wenyeji huchoma mapori kwa ajili ya uwindaji, alinipita barabarani speed ka ya kenge, alipofika barabarani alisimama akitweta, nikasema kumbe kifo kinatisha,Aisee kumbe maisha magumu na mawazo ya ajira ni kwangu tu , yaan mtu hadi anapata kuwaza kutaka kujua nyoka akitikisa mkia anamanisha nini ee mungu nibariki na nipunguzie ugumu wa maisha nami sku moja nije na thread ya kwann kinyonga anatembea pole pole